MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Vikisha kunywa pombe na kutafuna mirungi, mtu akiwa na vipesa tu anaitwa bilioneaHahahaa......wamebaki na historia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikisha kunywa pombe na kutafuna mirungi, mtu akiwa na vipesa tu anaitwa bilioneaHahahaa......wamebaki na historia tu
upo sahihi ndg.Shule hizi zimejaa Arusha na Moshi kama vile; International School of Tanganyika, International School of Moshi, Braeburn, Kennedy House, St Constantine, n.k.
Kwa hizi shule huwa zinajaa Wazungu, wahindi, waarabu, wakorea, n.k. lakini pia kuna jamii fulani ya watu wa huko Moshi (waliojaa pia Arusha) huwa wanasomesha watoto wao na nimeshuhudia zile nafasi chache za kudhamini kuwasomesha Watanzania bure wanawekana wao.
Hata huko mbele Ulaya matajiri , wanasiasa, wafalme, n.k. wanapeleka watoto wao aina hizi za shule. Ni shule ambazo zina mitaala yao ila kwakweli huku connections, kujua lugha, exposure, n.k. ndio muhimu.
Niseme tu ya kwamba hizi shule zina potential kubwa sana kwenye masuala ya ajira, biashara, kujenga connection na maendeleo kwa ujumla.
Wanafunzi wengi wa hizi shule pindi wakiwa wadogo tu lugha za Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, n.k, huwa ni kama kunywa maji.
Wengi wakimaliza shule wanapata njia nyepesi kuingia moja kwa moja vyuo vikubwa kidunia kama Havard, Oxford, Cambridge, n.k. huku wanazidi kuongeza connection na uzito wa status.
wanapata wepesi wa kuaminiwa na mashirika ya Kimaifa kama UN, UNHCR, UNICEF, connection na kujuana na wenzao watoto wa wazito wa nchi mbalimbali zinawasaidia sana hapa, sidhani kama kuna hasara endapo mtoto akisoma shule hizi na akaja kupata ulaji TANAPA,TPDC,BOT,TPA.
Kibiashara hasa biashara za familia inasaidia pia, Watanzania wengi huwa tukiona mtu kwao wakiwa na utajiri wa kipimo flani mfano familia ina biashara za kuwafanya wawe wanatembelea v8 na range tunaanza kuwaita mambo safi na pengine mtu wa familia hio anaridhika lakini mtoto akienda hizi shule akipata exposure ya kuwajua wenzake wahindi, waarabu na wazungu anaona wenzake kwao zipo Ferarri, Lambogini, n.k, anaanza kujiona ule utajiri wa nyumbani ambao wabongo tunauita mambo safi, si kitu kwa familia za marafiki zake, hii itampa moto wa kutaka kuimarisha zaidi biashara ya familia iwe hata kimataifa, kama mihogo walikuwa wanawauzia wahindi elf 10 lwa debe wao wanaenda kuuza laki 2 huko ulaya, connections zinaweza kumsaidia ajue namna ya kuuza moja kwa moja ulaya.
Pia kupata mambo kama wawekezaji, hizi huwa washajenga utandu wa comnections inakuwa rahisi pamoja na kupata idea mpya za biashara.
Acha uongo mkuu, hizi shule zinapatikana hata maeneo mengine ya nchi.Usijidanganye mkuu, gap bado refu sana.
Watu wanasomesha watoto shule hizi tangu kitambo lakini jamii zingine bado wamekariri necta utasema wapo sawa ? hata uende Kagera ama Mbeya huko huwezi kuta hizi shule
Tukija kwenye biashara ndio kabisaaa, Kampuni za ndege tu hizi mpaka leo ni wachaga ndio wanamiliki, makabila mengi bado wapo kwenye biashara za kuchuuza bidhaa za china hapo Kariakoo lakini hata hapo kariakoo wachaga wapo wa kutosha tu.
Gepu bado refu mno
hata morogoro ipo lakini hii mikoa zipo moja moja, si kama arusha na moshi zipo nyingiAcha uongo mkuu, hizi shule zinapatikana hata maeneo mengine ya nchi.
Mwanza kuna, "Mwanza international school"
Iringa pia ipo "Iringa international school"
Hata "Savanah plains" ya Shinyanga Zamani ilikuwa inatumia mitaala ya kimataifa.
Kwa hiyo ni uongo kusema shule hizo ziko Moshi na Arusha tu.
Hebu taja Arusha zipo ngapi na Moshi zipo ngapi?hata morogoro ipo lakini hii mikoa zipo moja moja, si kama arusha na moshi zipo nyingi
Master J ni Engineer na kasoma UKInategemeana tu..ninawajua wawili ambao kweli wanafanya kazi A list one othem anafanya kazi google HQ na mwingine anafanya amazon HQ. wote ni havard graduates. Ni ngumu kusoma vyuo A list kama umetoka shule zetu. Ila wapo wengine wapo tu kama kina p funk majani na mwenzie master jay wote ni IST students ila wakachagua u producer.
Arusha na moshi ni miji ya karibu sana wanashea vingi hata airport, wengi hufanya shughuli Arusha wanarudi Moshi and viceversa,Hebu taja Arusha zipo ngapi na Moshi zipo ngapi?
Usije sema zipo nyingi kumbe zipo mbili au tatu.
Zikizidi tano mkoa mmoj, mods wanipige ban.
Mikoa iliyo karibu karibu ni mingi, hata Dar na pwani ni karibu na wanashare vingi.Arusha na moshi ni miji ya karibu sana wanashea vingi hata airport, wengi hufanya shughuli Arusha wanarudi Moshi and viceversa,
unataka list ya shule, ok!
Arusha Meru International school .
International school of Moshi
International school of Tanganyika
The Tanganyika schools
Keneddy house
St Constatine
UWC East Africa
Jaffery Academy
Christ Church International School
Sunflower internationa school
Kiufupi hawa watu wa Moshi na Arusha kwenye elimu wapo mbali mno, mtu akiwa na iwezo wa pesa haoni anasomesha huko.
Huko kwengine naona matajiri wengi bado wanakazania watoto wao shule hizi za Necta, bado wana mwamko mdogo.
Kwa arusha zinazidi tanoMikoa iliyo karibu karibu ni mingi, hata Dar na pwani ni karibu na wanashare vingi.
Taja mkoa mmoja kati ya Arusha au Moshi, wenye shule angalau tano za international. Kama hazifiki maana yake hata huko nako ni chache tu.
Unaandika as if watu wa Arusha au Moshi watoto wao wote wanasoma international school. Kumbe kila mkoa shule hazifiki hata tano. Asilimia 99.9 ya wanafunzi wa Arusha na Moshi hawasomi International school. Na bado hakuna ushahidi watu wanaosoma hizo shule wote wanatokea Arusha au Moshi.
Ulisema mikoa mingine hakuna international school, tumekutajia kukuonyesha hata sehemu zingine zinapatikana. Unaleta hoja ya wingi.
Shule hizi zimejaa Arusha na Moshi kama vile; International School of Moshi, Braeburn, Kennedy House, St Constantine, n.k.
hizi shule huwa zinajaa watoto wa mabalozi wa nchi za ulaya, watoto wa kina Mo na bakhresa, n.k. lakini pia kuna matajiri wa Moshi waliojaa pia Arusha wenye mwamko wa kielimu ama walisomeshwa shule hizi huwa wanasomesha watoto wao huku na nimeshuhudia hata zile nafasi chache sana za kudhamini kuwasomesha watanzania bure huwa wanawekana wao.
Hata huko mbele Ulaya matajiri , wanasiasa, wafalme, n.k. wanapeleka watoto wao aina hizi za shule. Ni shule ambazo zina mitaala yao ila kwakweli hizi shule zinasaidia connections, kujua lugha, exposure, ukisoma huku ni cv nzito, inasaidia mno.
Wanafunzi wa hizi shule tangu watoto lugha za Kiingereza, Kifaransa, n.k, huwa ni kama kunywa maji, najua kuna hizi english medium za bei nafuu ila huku kiingereza ni kile cha kufundishwa kuandikia essay, kusomea vitabu, kujibia mitihani ama kutoa speech ambayo ilishaandikwa, lafudhi ya hizi shule za english medium imekazwa sana imekaa kibantu bantu, kutamka neno "the" mtu anasema "ze", temperature akiitamka anakaza sana ulimi, na ndio mana hata walimu wa hizi shule wanapata wakati mgumu wakikutana na mzungu wa marekani ama uingereza, ukitaka kuamini nachosema muite mwanafunzi wa hizo english medium muwekee mziki hata wa chris brown aandike mashairi yote mpe hata dakika 10 arudie rudie, akimaliza ingia google usechi hayo mashairi anza kumsahisha.
Wengi wakimaliza shule wanapata njia nyepesi kuingia moja kwa moja vyuo vikubwa kidunia kama Havard, Oxford, Cambridge, n.k. huku wanazidi kuongeza connection na uzito wa status.
wakihitimu vyuo wanapata wepesi wa kuaminiwa na mashirika ya Kimaifa kama UN, UNHCR, UNICEF, connection za kujuana na waliowatangulia madarasa waliopenya tayari humu ama kuwa na marafiki wenye wazazi waliomo hayo mashirika zinawasaidia sana hapa, sidhani kama kuna hasara endapo mtoto akisoma shule hizi na akaja kupata ulaji sehem kama ikulu, benki kuu, bandarani, tanapa, n.k.
Kibiashara hasa biashara za familia inasaidia pia, Watanzania wengi huwa tukiona mtu kwao wakiwa na utajiri wa kipimo flani mfano familia ina biashara za kuwafanya wawe wanatembelea v8 na range tunaanza kuwaita mambo safi na pengine mtu wa familia hio anaridhika lakini mtoto akienda hizi shule akipata exposure ya kuwajua wenzake wahindi, waarabu na wazungu anaona wenzake kwao zipo Ferarri, Lambogini, n.k, anaanza kujiona ule utajiri wa nyumbani ambao wabongo tunauita mambo safi, si kitu kwa familia za marafiki zake, hii itampa moto wa kutaka kuimarisha zaidi biashara ya familia iwe hata kimataifa, kama mihogo walikuwa wanawauzia wahindi elf 10 lwa debe wao wanaenda kuuza laki 2 huko ulaya, connections zinaweza kumsaidia ajue namna ya kuuza moja kwa moja ulaya.
Pia kupata mambo kama wawekezaji, hizi huwa washajenga utandu wa comnections inakuwa rahisi pamoja na kupata idea mpya za biashara.
Hizo international schools kwa Tanzania nzima zipo chache sana sidhani hata kama zinafika 30.Mikoa iliyo karibu karibu ni mingi, hata Dar na pwani ni karibu na wanashare vingi.
Taja mkoa mmoja kati ya Arusha au Moshi, wenye shule angalau tano za international. Kama hazifiki maana yake hata huko nako ni chache tu.
Unaandika as if watu wa Arusha au Moshi watoto wao wote wanasoma international school. Kumbe kila mkoa shule hazifiki hata tano. Asilimia 99.9 ya wanafunzi wa Arusha na Moshi hawasomi International school. Na bado hakuna ushahidi watu wanaosoma hizo shule wote wanatokea Arusha au Moshi.
Ulisema mikoa mingine hakuna international school, tumekutajia kukuonyesha hata sehemu zingine zinapatikana. Unaleta hoja ya wingi, kumbe hata unakosema ni nyingi bado chache.
Uwe unajiongeza basi kabla ya kukngea, hivi kweli kabisa umeamua kuilinganisha Jiji kubwa la Dar linalozidi kupanukia mkoa wa Pwani na jiji dogo hili la Arusha ambalo limepewa hadhi ya jiji juzi tu hapo ?Mikoa iliyo karibu karibu ni mingi, hata Dar na pwani ni karibu na wanashare vingi.
Taja mkoa mmoja kati ya Arusha au Moshi, wenye shule angalau tano za international. Kama hazifiki maana yake hata huko nako ni chache tu.
Unaandika as if watu wa Arusha au Moshi watoto wao wote wanasoma international school. Kumbe kila mkoa shule hazifiki hata tano. Asilimia 99.9 ya wanafunzi wa Arusha na Moshi hawasomi International school. Na bado hakuna ushahidi watu wanaosoma hizo shule wote wanatokea Arusha au Moshi.
Ulisema mikoa mingine hakuna international school, tumekutajia kukuonyesha hata sehemu zingine zinapatikana. Unaleta hoja ya wingi, kumbe hata unakosema ni nyingi bado chache.
Wewe mchaga umefanya tafiti kujua hizo shule wengi ni watu wa huko au kisa huyo master j??Uwe unajiongeza basi kabla ya kukngea, hivi kweli kabisa umeamua kuilinganisha Jiji kubwa la Dar linalozidi kupanukia mkoa wa Pwani na jiji dogo hili la Arusha ambalo limepewa hadhi ya jiji juzi tu hapo ?
Ila tatizo hapo Dar na Pwani wazawa wa hapo wazaramo wana mwamko mdogo wa elimu hata awe tajiri mwamko bado mdogo kupeleka mtoto hizo shule, hata huko Dar bado hizo shule unakuta kwa jamii zetu za makabila ya hapa kwetu ni watu wa Moshi ndio wamejaa kimtindo, hata huyo master J usione hatembelei magari mazuri, watoto wake wote watatu wanasoma shule hizo
Kennedy House International SchoolHebu taja Arusha zipo ngapi na Moshi zipo ngapi?
Usije sema zipo nyingi kumbe zipo mbili au tatu.
Zikizidi tano mkoa mmoj, mods wanipige ban.
Taja zinapatikana Arusha zifike tano.Kennedy House International School
Jaffery international school
Tanganyika Junior School
Braeburn School
Arusha Meru Int.School Primary School
UWC East Africa — Arusha Campus
St. Constantine's International School
Litletreasure and blossom international school
Kilimanjaro na Arusha ni mikoa tofauti ila mji wa moshi na jiji la arusha ni pua na mdomo.Taja zinapatikana Arusha zifike tano.
Na moshi zifike tano.
Kilimanjaro na Arusha ni mikoa tofauti.