Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

Umeanza kujitetea sasa ni nyumba gani kama hizo zimejaa huko vijijini ndani ndani...
Hyo sio nÿumba ya makazi,ni makumbusho ya MTu anakumbuka nÿumba hiyo si tangazo linaonekana? Huoni na gari kapaki hapo?
Hizo ni makumbusho
Uchagani hakuna nyumba ya nyasi hâta Moja kama kwenu MULEBA
 
Ndio maana Mimi huwa nawaambia wakitaka picha,tutapiga mnooo.

Ona kwa mzee huyu anakoishi[emoji116][emoji116]
Hyo nÿumba ya Mzee ni Sawa na zile zenu za nyasi kule itilima? Maskini WA Kilimanjaro ana ahueni mara 70 ya WA usukumani
Kwanza hapo Mzee huduma zote anazipata Karibu hospital,wilayan etc
Kule kwenu usukumani MTU kwenda wilayani ni kutwa nzima
 
Kilimanjaro mjini ni wapi?
Kila Mahali ni mjini
Maana huduma zote zipo anywhere
Sisi SIO kama nyie eti mjini Hadi ufunge safar, mwananchi let say WA hai au rombo aende Moshi mjini kufanya NN? Mahotel makubwa yote yapo hkohuko,ma supermarkets yapo hkohko,maduka makubwa hkohuko, maghorofa hkohko Sasa aende mjini kufanya NN,Kila Mahali n mjini ngosha
Sisi hatuendi mjini kushangaa ghorofa kama nyie wasukuma
Sisi ghorofa zipo Kila Mahali kwanzia holili,tarakea,masharti,himo,machame
 
Ndio maana Mimi huwa nawaambia wakitaka picha,tutapiga mnooo.

Ona kwa mzee huyu anakoishi[emoji116][emoji116]
Nÿumba ya Mzee Ina tofali,siment na banda lá mbuzi Huyu huwez mfananisha na maskini WA kule kwenu usukumani anaelala Jumba la nyasi,anae share maji lamboni na ngombe it's quite differ
Maskini WA uchagan ana ahueni mara 70 ya WA usukumani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
Sasa uliwahi sikia njaa uchagan ? Ila njaa IPO usukumani,mwaka Jana nimewapelekea tenda mahindi ya serikali ya kupunguza makali ya njaa
Njaa ipo ya kutosha Kilimanjaro.

Hata hivi karibuni, tumepokea mahindi ya msaada.

Watoto wamepata udumavu kwa Lishe mbovuuu. Watu wazima wakamka asububi, wanashindwa mgombani, saa 4 wanapata bohora la mbege ndio imetoka KULA mpaka usiku.
 
Kilimanjaro haiwez kuwa na njaa asilan
Udumavu upo Kanda ya ziwa Kilimanjaro haitakaa iwe na udumavu
Nakuumbua kwa takwimu
Mikoa ya Kanda ya ziwa udumavu kama wote means njaa
 
Nÿumba ya Mzee Ina tofali,siment na banda lá mbuzi Huyu huwez mfananisha na maskini WA kule kwenu usukumani anaelala Jumba la nyasi,anae share maji lamboni na ngombe it's quite differ
Maskini WA uchagan ana ahueni mara 70 ya WA usukumani
Mkuu achana nae huyo, ukiendelea kumsemeza uzi huu utajaa mabishano nje kabisa ya lengo la uzi huu.

Kama vipi mtafutane PM,
 
Sasa ndugu yangu mbona hao wachaga wana hela za kawaida mno ebu acha kuwapa masifa sana basi. Mtu anamiliki $720k tayari unampa vyeo vyote hivyo. Hiyo si ni bei ya nyumba kariakoo?
 
Qmmmke zenu muliohamishia battle kuwa ya usukumani na uchagani acheni upuuzi hapa tunazungumzia international schools only..ebwana aliyesoma hizi shule aje atupe experience yake basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…