Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?

Inaonekana mama hajui chochote kinachoendelea nchini
 
Hii kauli ilinishtua sana waziri hana access na Boss wake
 
Si
SIo kila nyuzi ni za kucomment, Bando langu halafu linifunge mimi mwenyewe? Vidole koma
 
Majibu kwa hali ya sasa ni haya
1. Inategemeana na jinsi Rais anavyojisikia au alivyoamka hadhi zao zinapanda na kushuka.
2. Rejea namba moja hapo juu.
3. Obvious wana mamlaka makubwa sana.
4. Kutakuwa na utaratibu mzuri tu ika anaweza kuamua asiufuate utaratibu uliowekwa na ikulu.
5. Rais ni mfalme.
 
Huyo aendelee hivyo kula hela za mama yake
Kuna dogo mmoja kanambia vitu vya kuhuzunisha na vimenifikirisha..

Kwenye hizi interview za ualimu ana division one o- level na a-level na chuo gpa 3.6 kwenye pepa za utumishi not selected

From credible source mitiani ya ualimu utumishi inavuja na watoto wa maskini Hawa penyi kwenye saili za uonevu..

Pole kwa WATANZANIA wa Hali ya Chini..
 
Kwa utawala huu GPA yako kubwa weka pembeni saka Connector popote ilipo
 
Kwa faida ya wengi tusimulie
Dogo shule kwanza picha linaanza time over dogo kagoma kukusanya pepa anaendelea kujaza anaambiwa time is over anaendelea kujaza kwa hio ticha sababu dogo ni mtoto wa mkubwa inabidi amuache aendelee kujaza mpaka atakapojisikia yeye kukusanya chumba kizima kabakia peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…