Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

Baada ya hayo mambo yote ya hovyo kutokea wewe ulichukua hatua gani 🤔kama hujafanya chochote hauna haki ya kumkosoa yoyote yule usitupangie cha kufanya
Kujadili mambo ya msingi yanayohusu taifa letu pia ni hatua nzuri unazani Nini kingetokea kama hii nguvu inayotumika na watu kujadili mambo ya simba na yanga ingekutumika upande mwingine Leo hii viongozi wanajichotea tu pesa sababu wanajua hakuna mtu wakuhoji
 
Ni wachache wanaoweza kuelewa. Huyo jamaa ndio wale wanaosemaga "katiba mpya hainiletei ugali mezani" hawajui hata katiba ni nini na ina athiri maisha yao vipi.
 
Haijalishi utawaza vipi lakini usijione sahihi kuliko wengine, kwa huo huo upuuzi wao wanajiona wako sahihi na hicho ambacho unaona ni jambo la maana wataona ni upuuzi
Ndio wataona ni upuuzi kwakuwa ni wapuuzi. Nimekufafanulia sitaki kurudia
 
Shida sio kuwepo. Shida ni kutaka kutoka na ku stop hiyo cycle. Ukiangalia mwenendo wetu ni kama hatutaki kutoka humo.
Tutatokaje kama vitu muhimu kwa binadamu Serikali inachukulia kama anasa yaani Nchi nzima tuwe tunazungumzia ist kweli nenda kwenye hardware huko ukutane na kodi ya hatari..
 
Tutatokaje kama vitu muhimu kwa binadamu Serikali inachukulia kama anasa yaani Nchi nzima tuwe tunazungumzia ist kweli nenda kwenye hardware huko ukutane na kodi ya hatari..
Ndio maana nasema tunatakiwa tuamke tuache kushabikia ujinga wa wapigaji. Umesikia jana Zimbabwe scandal ya mama kuhongwa usd 500k?
 
Vijana wana ndoto za kijinga sana na hawana jitihada za kufikiri kabisa
Unakuta mtu yupo kwenye simu masaa 6 mpaka 8 kwa siku na anachoangalia ni upumbavu tu ambao yeye anaona ni kiburudisho kwake
Ila sio huko tu, vijana wengi wamekosa muelekeo na wa huko wamezidi
Yaani hajui malengo yake kabisa
 
Back
Top Bottom