Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo'

Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo, wanakamatwa na tanpol bila sababu za msingi, constitution inabakwa out in the open. Kodi/tozo zimekuwa kandamizi kila raia anaumia lakini hao hao kila mahali ni kuongelea Simba na Yanga and such shit.

Kila mahali ni kuongelea mambo ya kipuuzi kama leaking za video chafu za watu maarufu na wasiokuwa na umaarufu.

Najiuliza tutafika lini? Kama akili za wengi zimejaa ujinga na hasa wengi wakiwa ni graduates wanaotarajia kupata ajira zenye haziko ni lini mtapata akili?

Ni lini mtagundua hizo decoy moves za mofo politicos na kupata akili?

Ni lini mtaacha kuyumbishwa na hizi petty issues za Simba, Yanga, Diamond and such trash?

Ni lini mtakuja kupata ufahamu kuwa tunapigwa pakubwa na hawa ma pinji wenye wanasanya kwenye majasho yenu?

Ni lini? Au ni mpaka iwe nini?

I still wonder.

Ni lini?
Mbusii asee kumbe unashushaga nondo za hatarii na kutema madini yaliyojitosheleza namna hii?
 
CCM imewajaza ujinga vijana wengi, lakini tuma inani kadri ahida zinavyowasonga kina siku watasimama na kudai haki zao.

Hatuwalaumu CCM, kazi ya chama tawala ni kuhakikisha inawezeka ujinga ndani ya vichwa hasa vya vijana ili watawale bila misukosuko.
 
Hao madingi wanaeleke added time. Vijana ndio time yao saa hii na future ya watoto wao. Usipotengeneza saa hii then utaishi kama shetani
Nakuelewa sana but kuna muda ni heri ujifanye mjinga huku mambo yako yanasonga kuliko kujifanya mjanja ukaishia kuozea segerea na kuanza kuwapa tabu ndugu zako jinsi yanamna ya kukunasua.
1. Utajikuta umepoteza muda wa kutosha ambao ungeweza kutengeneza njuruku.
2. Ndugu zako wataingia gharama za chakula, usafiri kila siku kukuletea selo pamoja na gharama za kukutoa.
3. Utapoteza thamani yako na ubinadamu wako coz watakuwa wana-kutreat kama mnyama.
4. Uta-undergo some psychological torture.
5. Kama ulikuwa ni muajiriwa utajikuta umepoteza kazi yako.
6. Kama walikutesa utajikuta umepoteza baadhi ya viungo vya mwili wako na kukufanya kutoka kuwa mtu kamili na kuwa dependant kwa ndugu zako.

Stay calm, cool and relax, kaa nje lisome game linavyoenda huku na wewe mambo yako yanaenda.
Stay safe Pal👍.
 
Chaliifrancisco with all due respect, wewe umefanya nini kubadilisha hiyo hali? Mchango wako ni upi kubadilisha upepo? Huwa namuuliza mtu yeyote aliyeamka na kutaka wengine waamke.

Be the change you want to see.
 
Asee. Nafikia mahali nachukia kabisa nikisikia mtu anaongelea mampira ya hovyo. Hata team ya olympic tu haiwezi andaliwa poa. Ni upigaji tu lakini gen hovyo tunashabikia ujinga
Mkuu kwenye hili la ma mipitra naungana na wewe, i hate it toka moyoni kbs, popote unapokuta vijana wapo kuanzia wawili basi mada inayojadiliwa ni ma mipira
 
Tatizo Mwenge wa Uhuru.
 W
anajua hampo huru na wanafanya mbele ya macho yenu na hamstuki kuwa mmezongwa.
 
Baada ya hayo mambo yote ya hovyo kutokea wewe ulichukua hatua gani 🤔kama hujafanya chochote hauna haki ya kumkosoa yoyote yule usitupangie cha kufanya
 
Mkuu kwenye hili la ma mipitra naungana na wewe, i hate it toka moyoni kbs, popote unapokuta vijana wapo kuanzia wawili basi mada inayojadiliwa ni ma mipira
Kujadili sio issue sana ila inakera mtu mda wote ni mipira tu. Yani mtu hana content nyingine ni maujinga tu mda wote.
 
Baada ya hayo mambo yote ya hovyo kutokea wewe ulichukua hatua gani 🤔kama hujafanya chochote hauna haki ya kumkosoa yoyote yule usitupangie cha kufanya
Sikupangii na ninayofanya wewe huyajui na sio lazima nikuambie. Iko hivi hapa nime vent tu juu ya ujinga wa vijana wa hii nchi.

Jitafakari.
 
Sikupangii na ninayofanya wewe huyajui na sio lazima nikuambie. Iko hivi hapa nime vent tu juu ya ujinga wa vijana wa hii nchi.

Jitafakari.
Usijione kwamba unachofanya ni Cha maana sana kwa sababu kwa wengine upuuzi na hakina maana, fanya yanayo kuhusu

Jitafakari
 
Back
Top Bottom