Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo'

Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo, wanakamatwa na tanpol bila sababu za msingi, constitution inabakwa out in the open. Kodi/tozo zimekuwa kandamizi kila raia anaumia lakini hao hao kila mahali ni kuongelea Simba na Yanga and such shit.

Kila mahali ni kuongelea mambo ya kipuuzi kama leaking za video chafu za watu maarufu na wasiokuwa na umaarufu.

Najiuliza tutafika lini? Kama akili za wengi zimejaa ujinga na hasa wengi wakiwa ni graduates wanaotarajia kupata ajira zenye haziko ni lini mtapata akili?

Ni lini mtagundua hizo decoy moves za mofo politicos na kupata akili?

Ni lini mtaacha kuyumbishwa na hizi petty issues za Simba, Yanga, Diamond and such trash?

Ni lini mtakuja kupata ufahamu kuwa tunapigwa pakubwa na hawa ma pinji wenye wanasanya kwenye majasho yenu?

Ni lini? Au ni mpaka iwe nini?

I still wonder.

Ni lini?
 
Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Hata kama walikosa malezi Ila shule wakaPata ,je hiyo shule Haiwezi mbadilisha akatoka ndani ya boksi?
Shule gani?

Unaelewa kitu kinaitwa early childhood development na umuhimu wake?

Unaelewa kuwa, kwa mfano, kuna watoto wengi wanapata madhara tangu wakiwa tumboni mwa mama zao ambao wanakunywa pombe na madawa ya kulevya na madhara hayo yanadumu maisha yote bila kujali elimu ya huko baadaye?

Unajua watoto wengi wanapitia childhood trauma inayosababisha matatizo hivyo hivyo?
 
Alisema nani?
Mimi hapa
Screenshot_2024-08-13-17-15-03-409_com.facebook.lite~2.jpg
 
Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo'

Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo, wanakamatwa na tanpol bila sababu za msingi, constitution inabakwa out in the open. Kodi/tozo zimekuwa kandamizi kila raia anaumia lakini hao hao kila mahali ni kuongelea Simba na Yanga and such shit.

Kila mahali ni kuongelea mambo ya kipuuzi kama leaking za video chafu za watu maarufu na wasiokuwa na umaarufu.

Najiuliza tutafika lini? Kama akili za wengi zimejaa ujinga na hasa wengi wakiwa ni graduates wanaotarajia kupata ajira zenye haziko ni lini mtapata akili?

Ni lini mtagundua hizo decoy moves za mofo politicos na kupata akili?

Ni lini mtaacha kuyumbishwa na hizi petty issues za Simba, Yanga, Diamond and such trash?

Ni lini mtakuja kupata ufahamu kuwa tunapigwa pakubwa na hawa ma pinji wenye wanasanya kwenye majasho yenu?

Ni lini? Au ni mpaka iwe nini?

I still wonder.

Ni lini?
Ingia studio Bob ukaachie Pini ukidakwa Sisi tutaandamana mpaka Ikulu ili uachiwe Ila kuna kuna mdau kayaimba yote uliyoyaandika Scars anaweza akawa anamjua Ila na Wewe unaweza ukafanya hivyo achia ngoma
 
Kutaka utawala bora na maisha bora, inatakiwa kuwe na dhamira ya kila mtu toka moyoni. Sasa watanzania wengi, wameridhika na maisha yao ni ngumu kuwabadilisha. Mtu anakwambia nakula ugali na dagaa kwenye amani, sitaki pizza kwenye vita.

Akili za wengi kushinikiza Serikali, maisha bora ni kutaka vita. Tumepiga kelele humu sana, mmeona tunavyojibiwa. Hata leo useme uitishe maandamano, utajikuta mwenyewe. Inabidi kuwabadilisha akili, kuwapa Elimu. Hasa kwa kizazi kipya si wa zamani.
 
Nasubiri siku ukiweka Bango la Ugali Kuku bure uwanja wa Nkapa na Uhuru stadium na Mimi nitakupa nguvu ulishe kijiji kizima cha matonya wa JF
 
Elimu ya kukariri ili ujibie mtihani haiwezi kuwa elimu, asilimia zaidi ya 75 ya graduates wengi katika hii nchi vichwa vyao vimejaa mambo ya entertainment tu kama sio muziki basi mpira na ndio vitu ambavyo wanaweza kuvizungumzia vizuri kuliko current issues zinazohusu masuala mbalimbali ya kinchi... mtu ukimuuliza mambo hayo ya msingi anakuambia aah hivyo mimi sio vitu vyangu.

Sasa kwa mtu wa namna hiyo utamwambia areact kwenye nini wakati hata yanayoendelea hayajui kwa hiyo ili umuamshe umguse panapo muhusu.
Huwa najiuliza vp kama kizazi cha kina mbowe, tundu lisu na zito kabwe kikiondoka sijui hali ya Siasa itakuaje huko mbele ya safari
 
Back
Top Bottom