Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Vyema sana una akili. Basi nakuomba utuonyeshe pakuanzia nawewe Hadi hapa umefikia wapi? Ahsantee sanaSina 'akiri' nina akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyema sana una akili. Basi nakuomba utuonyeshe pakuanzia nawewe Hadi hapa umefikia wapi? Ahsantee sanaSina 'akiri' nina akili
Mtu atakuambia. Katiba mpya, bunge, serikali haitaleta ugali mezani kwangu.Vijana tumekuwa hopeless sana, yaani inasikitisha sana
Ni hivi, huwezi kulaumu vijana bila kuangalia walivyolelewa.Wazee mda wao umeenda bro. It doesnt matter umekua aje. Ina matter what you see an perceive in the actuality.
Tuendelee kuwa wa hovyo kwakuwa our parents walizembea?
Mpaka hapa nilipofika nimeanzisha uzi JF wewe umefanya nini zaidi ya kusubiri vitumbua vya kodi zetu hapo Lumumba?Vyema sana una akili. Basi nakuomba utuonyeshe pakuanzia nawewe Hadi hapa umefikia wapi? Ahsantee sana
Yeah as simple as it is. So should we dwell in the past? Are going to try to deal with things we can not change or should we focus on the present.Ni hivi, huwezi kulaumu vijana bila kuangalia walivyolelewa.
Hakuna kijana aliyejizaa.
It is as simple as that.
Hili swala la simba na yanga nimeona sana dar es salam, Lakin mikoani Kuna afadhali, angalau vijana wanapambana kimaisha kweli kweli.I always wonder. Ni nini kinafanya watu wa hii nchi wawe wajinga kiasi hiki? Na ni lini watapata akili?
Ninapokuwa around watu nasikia tu simba yanga na ujinga kaa huo. Watu hawana content ni upuuzi tu ambao hau make sense
Mkuu kwanza elewa sipingani nawewe. Ulichosema ni kweli haswaMpaka hapa nilipofika nimeanzisha uzi JF wewe umefanya nini zaidi ya kusubiri vitumbua vya kodi zetu hapo Lumumba?
Tell me leo hii umeisaidiaje hii nchi?
Bushmamalai. Si tu Dar mimi nipo mkoani. Kilichonisukuma kuandika hapa ni kwasababu naona huku nilipo kila sekunde ni hayo mambo tu wakati mimi nafuatilia X mambo yanayoendelea unajikuta kunae raia anaanza kukuambia mambo ya kiwakiHili swala la simba na yanga nimeona sana dar es salam, Lakin mikoani Kuna afadhali, angalau vijana wanapambana kimaisha kweli kweli.
Vijana wa Dar wanajadili simba na yanga kutwa nzima wakitoka hapo wanatafuta mishangazi ya kuwaLea MaIsha yaende
Sio kwamba tunakuwa wa hovyo kwasababu wazazi walizembea, ni kutokana na historia ya tulipokuzwa na tulivyokuzwa, kama umekuzwa wazazi wanaongelea mpira na dini tu kuna uwezekano mdogo sana wa wewe kuchukua mkondo tofauti na huo, kama umekuzwa mahali watu wanapenda kusoma uwezekano wa wewe kufuata mkondo huo ni mkubwa zaidi, ukikuzwa uswahilini uwezekano wa kuwa mtu wa ngoma, muziki na vigodoro ni mkubwa zaidi.Wazee mda wao umeenda bro. It doesnt matter umekua aje. Ina matter what you see an perceive in the actuality.
Tuendelee kuwa wa hovyo kwakuwa our parents walizembea?
Hata kama walikosa malezi Ila shule wakaPata ,je hiyo shule Haiwezi mbadilisha akatoka ndani ya boksi?Ni hivi, huwezi kulaumu vijana bila kuangalia walivyolelewa.
Hakuna kijana aliyejizaa.
It is as simple as that.
Walipata shule ya aina gani?Hata kama walikosa malezi Ila shule wakaPata ,je hiyo shule Haiwezi mbadilisha akatoka ndani ya boksi?
kutenda cha kwenda shule unakuwa umejikomboa kifikraWalipata shule ya aina gani?
Anza hapa kuzuia majanga ya baadaye.Yeah as simple as it is. So should we dwell in the past? Are going to try to deal with things we can not change or should we focus on the present.
What is your opinion bro?
Imekuwa trend. Haijalishi mtu amakulia wapiSio kwamba tunakuwa wa hovyo kwasababu wazazi walizembea, ni kutokana na historia ya tulipokuzwa na tulivyokuzwa, kama umekuzwa wazazi wanaongelea mpira na dini tu kuna uwezekano mdogo sana wa wewe kuchukua mkondo tofauti na huo, kama umekuzwa mahali watu wanapenda kusoma uwezekano wa wewe kufuata mkondo huo ni mkubwa zaidi, ukikuzwa uswahilini uwezekano wa kuwa mtu wa ngoma, muziki na vigodoro ni mkubwa zaidi.
Kiswahili cha kikenya.Hapana ni kiswahili hiki
Well said. Lakini unafikiri hawa gen hovyo watakuelewa? Jibu ni hawatakuelewa.Anza hapa kuzuia majanga ya baadaye.
Kwanza weka sera za kupunguza na kuondoa unwanted pregnancies.
Hawa vijana majanga wengi ni watoto waliozaliwa bila kufuata uzazi wa mpango.
Pelekeni watu shule wachelewe kuzaa. Mtoto akizaliwa, anakuwa na wazazi waliokomaa, sio mtoto anazaa mtoto.
Endelezeni uchumi kuwe na ajira. Suala hili pamoja na elimu yatatatua matatizo mengi sana.
Punguzeni idadi ya watoto m focus kwenye quality of life, sio idadi ya watoto. We are past an agrarian world. Dunia ya leo hakuna haja ya kuzidisha zaidi ya watoto watatu. One for the mother, one for the father and one for the country.This puts you at just over the replacement level.
Hakuna mtu anayependa kuwa failure katika maisha, haya ni matokeo ya mipango mibovu tu.