Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kujadili mambo ya msingi yanayohusu taifa letu pia ni hatua nzuri unazani Nini kingetokea kama hii nguvu inayotumika na watu kujadili mambo ya simba na yanga ingekutumika upande mwingine Leo hii viongozi wanajichotea tu pesa sababu wanajua hakuna mtu wakuhojiBaada ya hayo mambo yote ya hovyo kutokea wewe ulichukua hatua gani 🤔kama hujafanya chochote hauna haki ya kumkosoa yoyote yule usitupangie cha kufanya
Ni wachache wanaoweza kuelewa. Huyo jamaa ndio wale wanaosemaga "katiba mpya hainiletei ugali mezani" hawajui hata katiba ni nini na ina athiri maisha yao vipi.Kujadili mambo ya msingi yanayohusu taifa letu pia ni hatua nzuri unazani Nini kingetokea kama hii nguvu inayotumika na watu kujadili mambo ya simba na yanga ingekutumika upande mwingine Leo hii viongozi wanajichotea tu pesa sababu wanajua hakuna mtu wakuhoji
Ndio wataona ni upuuzi kwakuwa ni wapuuzi. Nimekufafanulia sitaki kurudiaHaijalishi utawaza vipi lakini usijione sahihi kuliko wengine, kwa huo huo upuuzi wao wanajiona wako sahihi na hicho ambacho unaona ni jambo la maana wataona ni upuuzi
Tutatokaje kama vitu muhimu kwa binadamu Serikali inachukulia kama anasa yaani Nchi nzima tuwe tunazungumzia ist kweli nenda kwenye hardware huko ukutane na kodi ya hatari..Shida sio kuwepo. Shida ni kutaka kutoka na ku stop hiyo cycle. Ukiangalia mwenendo wetu ni kama hatutaki kutoka humo.
Ndio maana nasema tunatakiwa tuamke tuache kushabikia ujinga wa wapigaji. Umesikia jana Zimbabwe scandal ya mama kuhongwa usd 500k?Tutatokaje kama vitu muhimu kwa binadamu Serikali inachukulia kama anasa yaani Nchi nzima tuwe tunazungumzia ist kweli nenda kwenye hardware huko ukutane na kodi ya hatari..
Huwa natamani kutapika nikiona vileHakuna kikachonikera kama kuona yale mabango yanayobebwa wakati wa mpira yakisifia ujinga tu