ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake
Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police,
Vyombo vya habari vya kimataifa vimeishutumu serikali Kwa kuiba uchaguzi na kuuwa zaidi ya Watanganyika 10,000
Tutarajie hotuba yake itakuwa na
1. Kumhitaji maridhiano? Baada ya kuwepo Kambi zinazokinzana nae
2. Kuendelea kuwa kiburi na dharau?
3. Atakiri kufanya mauaji?
Hilo Lina asilimia ndogo kutokea
4 ataendelea kulipia uharibifu wa Mali zaidi ya watu waliopoteza maisha?
Hilo Lina asilimia 💯 kutokea
5. Atakuwa na msimamo ule kuwa waliokufa sio Watanganyika Bali ni watu kutoka nje ya nchi?
7. Atalipa bunge uhuru na meno ya kumwajibisha serikali?
Nina uhakika bunge hili litaendelea kuwa la machawa
8. Ataongea kuhusu Watanzania kupata Katiba mpya?
Najua ataendelea kupuuza na kutumia hii katiba ya Nyerere hadi kipindi chake kiishe
9. Ataupa nguvu mhimili wa Mahakama?
Hilo haiwezekani mahakamani itakuwa sehemu ya kupigiwa simu na kuelekezwa namna ya kutoa hukumu
10. Ataongea nini kuhusu vikosi vilivyotoka Zanzibar na kuingiza Tanganyika, kuuwa halaiki ya Watanganyika wasio na hatia
11. Yupo tayari kuwawajibisha police waliouwa?
Hilo Nina uhakika halipo atakana
12. Atakuwa tayari kuwajibika Kwa kujiuzulu?
Hilo najua haiwezekani, bishoo wa Mashoga hawezi kumruhusu
13 Yupo tayari kumwachia Lissu Kwa kesi ya uhaini ambayo ni uongo.
Pia vijana zaidi ya 600 waliobambikiziwa kesi za uhaini baada ya uchaguzi ambao wanasota gerezani bila dhamana