PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake

Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police,

Vyombo vya habari vya kimataifa vimeishutumu serikali Kwa kuiba uchaguzi na kuuwa zaidi ya Watanganyika 10,000

Tutarajie hotuba yake itakuwa na
1. Kumhitaji maridhiano? Baada ya kuwepo Kambi zinazokinzana nae

2. Kuendelea kuwa kiburi na dharau?

3. Atakiri kufanya mauaji?
Hilo Lina asilimia ndogo kutokea

4 ataendelea kulipia uharibifu wa Mali zaidi ya watu waliopoteza maisha?
Hilo Lina asilimia 💯 kutokea

5. Atakuwa na msimamo ule kuwa waliokufa sio Watanganyika Bali ni watu kutoka nje ya nchi?

7. Atalipa bunge uhuru na meno ya kumwajibisha serikali?
Nina uhakika bunge hili litaendelea kuwa la machawa

8. Ataongea kuhusu Watanzania kupata Katiba mpya?
Najua ataendelea kupuuza na kutumia hii katiba ya Nyerere hadi kipindi chake kiishe

9. Ataupa nguvu mhimili wa Mahakama?
Hilo haiwezekani mahakamani itakuwa sehemu ya kupigiwa simu na kuelekezwa namna ya kutoa hukumu

10. Ataongea nini kuhusu vikosi vilivyotoka Zanzibar na kuingiza Tanganyika, kuuwa halaiki ya Watanganyika wasio na hatia

11. Yupo tayari kuwawajibisha police waliouwa?
Hilo Nina uhakika halipo atakana

12. Atakuwa tayari kuwajibika Kwa kujiuzulu?
Hilo najua haiwezekani, bishoo wa Mashoga hawezi kumruhusu

13 Yupo tayari kumwachia Lissu Kwa kesi ya uhaini ambayo ni uongo.
Pia vijana zaidi ya 600 waliobambikiziwa kesi za uhaini baada ya uchaguzi ambao wanasota gerezani bila dhamana
Hilo lijanamke shangingi si rais wa Tanzania, labda urais wa kujiteua lakini halijachaguliwa na wananchi.
 
Hakuna kipya zaidi ya mipasho,dharau na kejeli. Hotuba haitagusa maisha ya raia bali uongozi kwa ujumla. Na wao wanajua sasahivi hakuna raia aliye upande wao.

Hiyo ni mipasho na kejeli.
 
Hakika mkuu
 
Siku kafariki Jpm ndo nilimsikiliza nikajipiga kifuani nikisema hakika tumeingia cha kike kweli kweli na tangu hapo sina mda na sitakuja kumsikiliza popote pale yaan huyo hata sekunde yangu hawezi ipata
 
Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake

Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police,

Vyombo vya habari vya kimataifa vimeishutumu serikali Kwa kuiba uchaguzi na kuuwa zaidi ya Watanganyika 10,000

Tutarajie hotuba yake itakuwa na
1. Kumhitaji maridhiano? Baada ya kuwepo Kambi zinazokinzana nae

2. Kuendelea kuwa kiburi na dharau?

3. Atakiri kufanya mauaji?
Hilo Lina asilimia ndogo kutokea

4 ataendelea kulipia uharibifu wa Mali zaidi ya watu waliopoteza maisha?
Hilo Lina asilimia [emoji817] kutokea

5. Atakuwa na msimamo ule kuwa waliokufa sio Watanganyika Bali ni watu kutoka nje ya nchi?

7. Atalipa bunge uhuru na meno ya kumwajibisha serikali?
Nina uhakika bunge hili litaendelea kuwa la machawa

8. Ataongea kuhusu Watanzania kupata Katiba mpya?
Najua ataendelea kupuuza na kutumia hii katiba ya Nyerere hadi kipindi chake kiishe

9. Ataupa nguvu mhimili wa Mahakama?
Hilo haiwezekani mahakamani itakuwa sehemu ya kupigiwa simu na kuelekezwa namna ya kutoa hukumu

10. Ataongea nini kuhusu vikosi vilivyotoka Zanzibar na kuingiza Tanganyika, kuuwa halaiki ya Watanganyika wasio na hatia

11. Yupo tayari kuwawajibisha police waliouwa?
Hilo Nina uhakika halipo atakana

12. Atakuwa tayari kuwajibika Kwa kujiuzulu?
Hilo najua haiwezekani, bishoo wa Mashoga hawezi kumruhusu

13 Yupo tayari kumwachia Lissu Kwa kesi ya uhaini ambayo ni uongo.
Pia vijana zaidi ya 600 waliobambikiziwa kesi za uhaini baada ya uchaguzi ambao wanasota gerezani bila dhamana
" Na hili nalo mkalitazame"
 
Back
Top Bottom