Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Asante mkuu.Nchi hii ni ya kipumbavu sana.
Mzee kwa hiyo fani wewe hukupaswa kufanya kazi nchi hii ya mchongo.
Ngoja nikupe site moja ya Canada uombe kazi huko uondoke bongo
Lugha si inapanda mlima?
Nimesikitika sana kwa mtu wa ujuzi aina yako. Sema siku hizi nime mess up na connections nilizokua nazo otherwise mzee ningekusaidia kikamilifu.
Halafu kwa fani yako unaweza kuwa actuary pia, maana mnafana na watu wa acturial science.
Nashukuru Mungu Lugha iko vizuri sana.
Kuna raia mmoja wa Spain tulikutana kwenye mihangaiko yangu, nae alisema kitu juu ya actuarial science.