Tutamkumbuka kwa lipi Ummy Mwalimu?


Kama mwenye final say ni Rais kwanini anayafumbia macho haya madudu. Hata Rais hajali afya za wananchi aisee! Ccm imelaaniwa.
 
Tutamkumbuka hasa kwa Kutukenulia yale Meno yake yenye muonekano mbaya kwa Mwanamke na kuwa na Mdomo usiyovutia akiwa Anatabasamu.

Imeisha hiyo......!!
 
Sasa kwanini hamkuomba hata tu msaada wa Waganga Hatari wa Mkoa wa Singida ili kila wakati Kocha Mkuu akitaka kufanya mabadiliko ( substitution ) katika 21st March 2021 Paje Football Club nyie msahaulike Kwake?

Ila kwa mbali naanza pia sasa Kuwakubali na Waganga wa Iringa pamoja na Tabora kwani wana Uwezo mkubwa wa kumfanya Kocha Mkuu akikuchukia katika Timu yake basi baadae Yeye mwenyewe tu anaamua kukurejesha Kikosini ili ukaikoe Timu hasa kwa Ligi Kuu ijayo ya 2025.
 
Nakumbuka shingo yake nzuri na macho ya kimahaba
 
Waoewe vijana sasa hawa wengine wapumzike
 
Utamdhibiti Anna Makinda? Yule ndio mtoeni pale
 
Mimi nilikuwa nashangaa kwa nini mpaka leo yupo.
Wamefanya looting ya maana MSD pamoja na Mkurugenzi mmoja aliyepita hapo MSD aliyekuwa mpnz wake.
Huyo Dada hajasomea Pharmacy,Dentistry, Nursing Wala Medicine hiyo kazi asingeiweza.
 
SIyo kweli; enzi zile NIHF ilikuwa inaheshimika na hospitali zote. Leo hii ukiwa na kadi ya NIHF utakwama karibu hospitali zote isipokuwa labda za serikali tu.
Hata huko serikalini ukifanya masikhara unaweza toka na Panadol dawa nyingine ukaangalie madukan huko
 
Kweli kabisa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…