Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Duh!...mnachunguza kila kitu Sasa.
 
Sijui hata kama unapataga muda wa kufanya kazi au kupumzika.
Hahaaaaaaa, haya nimetoka kanisani sasa ila nakushauri tu kwa Nia njema dada, usidharirishe na kutunga uongo kuhusu wengine. Hata kama tuna fake ID ila Karma is real. Kuwa na Jumapili njema.
 
Tunomba hio page mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…