#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?


Jumapili pili jion ndio mada hii ijadiliwe tukiwe tumesikia na upande wa pili
 
Uliwasikia vizuri?
 
Mleta mada inaonekana ww ndio una umaskini mkubwa wa akili.Kwa umaskini wako mkubwa wa akili unaona Kawe tu ndio wanapinga chanjo.
Wapi nimesema kuwa ni Kawe tu ndiyo wanapinga chanjo?
Nenda ulaya,USA,kote kuna ambao hawataki chanjo.Mpaka Rais wa USA alitoa bonus ya uds 200ili wachanjwe.Je nao wanaumasikini wa akili au bogas www ndio maskini mkubwa wa akili.
Chanjo kupingwa katika mataifa mengine haihalalishi kuwa chanjo kupingwa Tanzania ni sahihi.Kwani nchi nyingine hazina wajinga?Hizo nchi nyingine wanaishi miungu ambayo haiwezi kuwa wajinga?Si wanaishi tu binadamu kama Tanzania?
Aidha ukichanjwa bado upo kwenye hatari mkubwa ya kuambukizwa na kuambukiza.
Watu kufa baada ya kupata chanjo au kuambukiza na kuambukizwa ni jambo la kawaida kabisa na ni jambo lililothibitishwa kisayansi kwa sababu hizi chanjo zina efficacy.Kama efficacy ya chanjo ni asilimia 70 lazima kuna watu wengi tu watakufa/kuambukiza/kuambukizwa baada ya kupata chanjo.Unaelewa maana halisi ya efficacy katika chanjo?
Wanaochanjwa waheshimiwe na wasiochanjwa waheshimiwe.Watu msio na ufahamu wa hivi vitu mnyamaze.
Hatuwezi kamwe kuheshimu watu ambao wanapinga chanjo kwa sababu ni mbumbumbu pekee ndiye anaweza kupinga sayansi.Wewe unapinga chanjo kwa kigezo kipi?
 
Utasemaje ingekuwa rahisi wakati hatuoni hizo jitihada za uwamasishaji wala kuelimisha wananchi? na inajulikana duniani kote kuna watu wengi tu wanapinga hizi chanjo kiasi cha kwengine wamefikia hadi kufukuza wafanyakazi waliyogoma kuchanja na hatua nyengine hadi inabidi watumie ushawishi wa kugawa hela kwa watakao kubali kuchanjwa, sasa nashangaa wewe unasema et bongo ingekuwa rahisi tu. Kuna watu kibao hawajaamua kuchanjwa bado ila hawapingi chanjo hivyo ni kundi ambalo linahitaji kuhamasishwa ila nyinyi mmekazana na Magufuli tu kuwapotosha watu.
 
Mama anahekima sana kuzidi ya Mfalme Suleman alitaka kujua manyumbu na mazuzu ni wangapi katika nchi hii ambao wanafuata upepo.
Watalaamu wa ulaya wote na Afriaka wamesema utafiti unatakiwa uchukuwe miaka 10 ww unajipeleka wakwanza kisa kiongozi wako wa siasa kasema, wa siasa, wa siasa, dah, wa siasa mi sijui.
Kama viongozi wa dini tupu ni waongo leo unawaamini wanasiasa.
Mi mtoto wa mchungaji inanishangaza.
 
Role ambayo Magufuli aliplay kwenye awamu ya tano katika upotoshaji dhidi ya chanjo ya Corona ipo clear and obvious na ni kubwa.

Wewe unafikiri kuwa Rais wa nchi hana ushawishi mkubwa kwa raia?Wewe unafikiri kuwa anachoongea Rais wa nchi juu watu wake hakina impact?Yaani Rais wa nchi aseme kuwa chanjo hazifai halafu raia wachukulie kuwa ni porojo?
 
Umeona maneno ya msingi au unaongea kwakua unatoa sauti na unaweza kubonyeza key board?
Msipende kumharibia Rais...Ametoa uhuru kwa wanaotaka na wasio taka na anatumia busara kutoa ushawishi na siyo kulazimisha kama wengine wenu mfanyavyo...

Kwanza nikiangalia hata artefact ya maandishi yako, nakuelewa ni kiumbe wa namna gani...Hiyo rangi unayotumia wala huwezi shawishi hata mjusi kukimbia kwakua you are naive!
 
Mawazo yako yanafanana na jina lako....
 
Una Maguphobia ndiyo tatizo lako, kajitibu kwanza, ugonjwa huo ukikutoka uta think straight!
 
Balance maonin yako. Wapo waliosema tutachanja na waliosema hatuchanji. Hivyo, hakuna cha kuchana wala nini bali unaonyesha upande wako na kupiga chuku bila sababu.
Huyu ni form two fulani hivi ndiyo sababu anashindwa kuficha ego yake, msamehe akikua ataacha!😂
 
Una Maguphobia ndiyo tatizo lako, kajitibu kwanza, ugonjwa huo ukikutoka uta think straight!
Nina Maguphobia kama CCM walivyo na Maguphobia na katiba mpya?Kwa hiyo tiba ya Maguphobia ya CCM dhidi ya katiba mpya ni nini?
 
Nina Maguphobia kama CCM walivyo na Maguphobia na katiba mpya?Kwa hiyo tiba ya Maguphobia ya CCM dhidi ya katiba mpya ni nini?
Usi panic, calm yourself down life it too good to complicate it....Utakufa kwa sonona, CCM bado ipo ipo upende au usipende
 
Wewe ndiye naive kwa sababu hata hufuatilii anachosema Rais wako.Unaweza kuwa na lengo la kuchanja wananchi wote kama Rais alivyosema halafu hapohapo utoe hiari katika suala la kuchanja kama unavyopotosha?

Source: Rais Samia ahutubia Mkutano wa SADC Malawi

Wewe ndiye naive kwa sababu hata kuchambua mambo madogo kama haya kwako ni mtihani.
 
Usi panic, calm yourself down life it too good to complicate it....Utakufa kwa sonona, CCM bado ipo ipo upende au usipende
CCM ndiyo watakufa kwa sonona kwa sababu wanaiogopa katiba mpya kuliko hata wanavyomuogopa Mungu🚶🚶🚶
 
Kwani kuhusu kuambukiza si hata aliyechanja anaweza kuambukiza?
 
Wapi nimesema hicho ulichokisema hapo? mbona unakwepa point ya msingi nayoizungumza hapa?

Nimekwambia kuna kundi kubwa la watu ambao hawajafanya uamuzi wa kuchanja ila hawapingi chanjo je serikali yako imefanya jitihada gani kuwashawishi hilo kundi au ndio mnakaa mnakaa tu na kuishia kusema tatizo ni Magufuli? ni elimu kiasi gani hadi sasa serikali yako imetoa kihusu chanjo au ndio jibu tatizo ni Magufuli tu?

Wanaopinga chanjo wapo duniani kote ila ajabu Tanzania inaonekana kama si Magufuli basi kusingekuwa na wapinga chanjo watu wengi wangekubali kuchanjwa bila ushawishi wala kutoa elimu.
 
Serikali iliyokuwa inapinga chanjo awamu ya tano ina moral authority gani ya kuweza kutoa elimu juu ya chanjo leo hii? Yaani serikali ileile iliyokuwa inashirikiana na Magufuli katika awamu ya tano katika kupinga chanjo leo hii ibadilike kutoa elimu juu ya chanjo? WTF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…