kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Umeona mbali aisee Jamaa ana ushawishi kanda ileeGwajima ni karata nzuri kwa mama kwenye uchaguzi 2025 trust me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona mbali aisee Jamaa ana ushawishi kanda ileeGwajima ni karata nzuri kwa mama kwenye uchaguzi 2025 trust me
Chaga gangsters wameshindwa.Sukuma gang wameshinda
ww ndo unaakiliWananchi wa Tanzania kukataa chanjo haikusababishwa na kumwamini JPM bali kwa kuwa Tanzania ni Taifa lenye umasikini mkubwa wa akili ni rahisi sana wananchi wake kuyaamini na kuyakubali mawazo ya kipumbavu kwa haraka zaidi kuliko kuyakubali na kuyaamini mawazo sahihi.
Kwa kuwa mawazo ya JPM juu ya Corona yalikuwa ni ya kipumbavu basi wananchi waliyashika na kuyaamini haraka sana.
Mbona mnapenda kuchonganisha sana?Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea"
Kwa kauli hii Spika na Waziri wa Afya wako na hali gani kwa sasa?
Je, tuendelee kutegemea hatua zozote kutoka kwenye chama (CCM) dhidi ya Gwajiboy?
Usimkweze ki hivyo, he also needs to be mature and act wisely...Leo alitumia wisdom kwenda kwenye hoja na kuachana na kile ambacho hakibaliani nacho....Kwahiyo ni namna njema na ya heshima kusema nohatatokea tena MTU Wa kuweka ligi na gwajiboy....
makonda alichezea za uso licha ya kuwa kipenzi cha baba shemeji yake. bashite ni binam wa Janet mbizo.
gwajigirl alizani mwanamama mwenzake atamlimda na akina ndugu gay wakidhani wanajiunga na mama wamechrmka..... maza kawaruka ft mia na hitimisho ni kuwa mjadala umefungwa na mwenyekiti Wa ccm uliokuwa najadiliwa na bungeccm
Aya ya mwisho ni muhimu sana....Mjadala uishie hapo tuendelee na maisha...Kuna mengine zaidi ya hayo ambayo ni ya msingi na muhimu kwa taifa letu...Ahsante Mh. Raishatatokea tena MTU Wa kuweka ligi na gwajiboy....
makonda alichezea za uso licha ya kuwa kipenzi cha baba shemeji yake. bashite ni binam wa Janet mbizo.
gwajigirl alizani mwanamama mwenzake atamlimda na akina ndugu gay wakidhani wanajiunga na mama wamechrmka..... maza kawaruka ft mia na hitimisho ni kuwa mjadala umefungwa na mwenyekiti Wa ccm uliokuwa najadiliwa na bungeccm
Licha ya kandaa na kwa lile kanisa langu ambao tupo wengi wa kutosha siku hizi....tena wasio na dini mpaka wale ambao hawajajifunua dhahiri...Japo sipendi kutumia imani kufanya manipulations....Umeona mbali aisee Jamaa ana ushawishi kanda ilee
Mama ni mwanasiasa mzuri, hayo mengine ni ninyi wapamne mnamharibia...Mama analinda wote ambao wameamua na ambao bado kuamua na leo amesomba kura zote...Mnamshauri mama vibaya sana kwakupenda kulazimisha matamanio yenuMama alifanya vizuri kwa sababu kusema tunachanja hatuchanji na wananchi kuitikia tunachanjaaaa
Askofu kaishiwa pozi na hakutaka kuweka comment badala yake kabase kwenye matatizo ya wananchi wake wa kawe
Mama kambana askofu angemuhoji pale direct ingekuwa ni udhalilishaji
Lakini ni kama tu kamtaka askofu aseme tunachanja na ajue huo ndiyo msimamo
Mama hayupo upande wa askofu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ukiangalia picha hiyo kwa makini, ukawaangalia watu waliopo hapo na jinsi walivyokuwa wakipokea yaliyosemwa hapo, sijui mwenzangu unaionaje hali ya nchi yetu!Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea"
Kwa kauli hii Spika na Waziri wa Afya wako na hali gani kwa sasa?
Je, tuendelee kutegemea hatua zozote kutoka kwenye chama (CCM) dhidi ya Gwajiboy?
Kwani hii ya corona ulidhani ingewezekana kupinga?Chanjo ya covid hawatachanjwa, je!, ya ukimwi pia watapinga????
Aise,,bora weupe warudi kumtawala mtu mweusi.
ww ndo unaakili
Acha uchonganishi...Walijibu majibu yote mawili...Kwahiyo bado wapo ambao wanakubali na wapo wanaokataa na Rais ame prove kisiasa yupo sawa kabisa kwakua kawakubali wote...Tuache kumwondoa Rais kwenye reli...Aendelee na kutuletea maendeleo badala ya kubakia tu kwenye chanjo as if ni MunguLeo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.
Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?
My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
Ni golden card inatakiwa kutunzwa.Gwajima ni karata nzuri kwa mama kwenye uchaguzi 2025
Mh. Rais yupo sawa kabisa, kwakua wale ambao hawajachanja wanahitaji muda kujiridhisha...Na waliochanjwa nao wana sababu zap za msingi za kuchanja...Sote tu watanzania na kila moja ana haki sawa na mwenzake....Tatizo ni wachache wetu ambao walitaka kufanya tofauti na maelekezo ya RaisRais ndo ametoka hadharani, hivyo kuuliza ni kutaka kujua hari harisi.
Baada ya hapo amefafanua kwamba, wanao chanja wachanje, wasio chanja waachwe wasichanje.
Hakuna haja ya kuumizana kwa ajili ya jambo hilo.
Una hakika hana kinyongo? mbona kuna watu kawapangua baada tu kuchukua madaraka.Huyu mama hana kinyongo aisee, bwana yule angekua ametishia kupiga shangazi zake Gwajiboy.
Ni haki yetu kuamua kuhusu afya yetu kwamba tunaenda kwa waganga au kwa Mungu wa Gwajima its our problem, we unapata shida gani?Uzuri ni kuwa wengi wao wakiugua wataishia kwa waganga ambao watawaambia wamelogwa au kwa wakina Gwajima ambao watawafufua hata kama watakufa.
Amandla...