Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

kama walimu wanateseka je wasio na ajira kama hana hali mbovu wajaribu kuacha kazi wawe jobless mbona wataishi powa tu mtaani.
 
Mwalimu ndo mtumishi peke anayefanya KAZI Hadi kipindi Cha overtime lakin akidai posho ya overtime anaundiwa zengee la kufukuzwa KAZI na mwajiri wake Cha kushangaza walimu wenzake watamuita wewe ni CHADEMA au upinzani.
 
Ndoivo hawa jamaa wanapata shida sana ahsee
 
Mishahara
Mwalimu cheti 470K
Diploma 590K
Degree 770K
Degree science 800K

AFYA
Cheti 500K
Diploma 740K
Degree 3years 1,040,000/=
Degree 4years 1,340,000/=
Degree 5years 1,500,000/=

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Si kweli kwamba walimu wanamishahara midogo, walimu wanakuwa na maisha magumu sana baadhi yao si wote sababu ya madeni, wanakopa hela then wanafanyia expenditure na sio asset
 
Si kweli kwamba walimu wanamishahara midogo, walimu wanakuwa na maisha magumu sana baadhi yao si wote sababu ya madeni, wanakopa hela then wanafanyia expenditure na sio asset
Ivi kumbe, walimu wana posho?
 
๐’๐ข๐ค๐ฎ ๐ฎ๐ค๐ข๐š๐ฆ๐ค๐š ๐ฏ๐ข๐ฑ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ˆ๐ ๐ฒ๐š๐ค๐จ ๐ง๐ข 140 ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐๐ž๐ญ๐š๐ง๐ฒ๐š๐ก๐ฎ ๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ณ๐ข๐ง๐ ๐ฎ๐š.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ