ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z