ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
- Thread starter
- #21
Ushauri mzuri mnoKuna wakati kiongozi unapaswa kusema nimekosea na najiengua na ukabaki na heshima kubwa
Ila vizazi vilivyolelewa 70s na beyond kidini vingi ni muchknow havina unyenyekevu wa asili
Wao kauli mbio yao ni nazi haishindani na jiwe na wao nadhani dunia waliyolelewa wao kwa upumbavu wao ndio Waliyopo.!
Sisemi ajiengue ila anapaswa akiri makosa na awajibike kwa vitendo
Maana yake akubali sintofahamu iliyotokea na kukiri kuisawaziza kwa kukirimu kadiri awezavyo
Na Baada ya hapo awaruhusu watanzania wamuhukumu kadiri wawezavyo na ndio heshima yake itazidi waliompita kwa durufu ya maradufu
I