castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,821
- 3,293
Ushauri hakuna ila ⌚💯 haijaisha mpaka iishe your days are numbered
Shida sio tu kwasabu ya Mo29 bali raia hawataki kupangiwa mtu wa kuwaongoza.Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Acha twende hivihivi… dharau nyingi acha ulimwengu umfundisheRais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
😂🤣Sio Kwa ubaya mwananchi mwenzangu
Kama Mtume S.A.W. alikuwa na hulka na mapito ya kinyenyekevu, upole na misamaha, ni kwa nn Waislam wengi wanakuwa na militant disposition na wanazi wakali kwenye utetezi wa Waislam wenzao hata ambapo hakuna logic ya kumtetea mwenzao ambae kaharibu. Mafundisho au influence hiyo inapatikana wapi kwenye Uislam.Mtume alijibu kwa upole akiwa na Hali mbaya "wasamehe hao watu wasamehe hawajui walitendalo wasamehe nacho omba ni wao na vizazi vyao siku moja wamgeukie mungu TU,
Huo Mkwara kamtishe Myebusi Maghayo Busu la KengeWewe chokor chunga sana maneno yako JF ina server zinazokaa muda mrefu sana,huu upupu unaoandika hapa ipo siku kila neno utalitolea hesabu mark my word nitakuja siku moja nikutie mikononi mwangu na nitakufanya hamna,
Now maneno yangu ni mikwara mbuzi kama keyboard worior kwako ila remember my code
Dumas the terrible
Nitakukumbusha hii avatar out of JF!
Kufunga mtandao kama X, JamiiForums nk nk inaumiza uchumi na elimu kwa raia...Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Busu la KengeKama Mtume S.A.W. alikuwa na hulka na mapito ya kinyenyekevu, upole na misamaha, ni kwa nn Waislam wengi wanakuwa na militant disposition na wanazi wakali kwenye utetezi wa Waislam wenzao hata ambapo hakuna logic ya kumtetea mwenzao ambae kaharibu. Mafundisho au influence hiyo inapatikana wapi kwenye Uislam.
Mkuu na sisi tuliozaliwa miaka ya 60-69 hebu tuambie tabia zetu tukoje halafu na mimi nitapandilia nikuambie ninavyojisikia na kuchukulia mambo.Kuna wakati kiongozi unapaswa kusema nimekosea na najiengua na ukabaki na heshima kubwa
Ila vizazi vilivyolelewa 70s na beyond kidini vingi ni muchknow havina unyenyekevu wa asili
Wao kauli mbio yao ni nazi haishindani na jiwe na wao nadhani dunia waliyolelewa wao kwa upumbavu wao ndio Waliyopo.!
Sisemi ajiengue ila anapaswa akiri makosa na awajibike kwa vitendo
Maana yake akubali sintofahamu iliyotokea na kukiri kuisawaziza kwa kukirimu kadiri awezavyo
Na Baada ya hapo awaruhusu watanzania wamuhukumu kadiri wawezavyo na ndio heshima yake itazidi waliompita kwa durufu ya maradufu