Tuvae viatu gani wakati ni rais haramu? Ni machawa na mazwazwa wanaoweza kufikiri hivi.Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni matiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Nakubaliana na wewe, binfasi sioni kama Samia Hassan Suluhu. Tumesahahu kushughulika na mizizi, maana pale yupo kama picha, ila wanao engineer ni wengine hata ilo la Dull watu wanatumie njia kwa huyo dogo kwakua wameisha shika masikio na wamemuingiza kwenye 18. All in all muafaka wa kitaifa ni kuwajibika sawa sawa na uzito wa makosa waliyofanya ( kuruhusu pamoja na mautekaji na mauaji ya kinyama kabisa )Msilolijua yule Mama alitamani sana kuachana na Mambo ya uraisi ila ndo walioko nyuma yake wanamforce alioneshwa hizo video na alizima zaidi ya mara moja na ndo maana kama ulimfuatilia zile siku za mwanzo hakuwa sawa. Kuna yule Mzee wa Gasom na wale wenzake Mama wa kule ng'ambo ya bahari ya pasific wanamtumia sana kwa ajili ya agenda zao za kitamaa na kishetani.
Pray for kanyingata.. Yajayo sio Mazuri kuanzia tarehe tano mambo mapya yatawekwa wazi na hayatowavutia wengi
Hata mm nashangaa mwana kageuka ama kamuonea huruma mazaBrother ushapewa afu saba nini
Hapana. Ni kiburi chake na tamaa ya madaraka. How strong you are to kill your own people and still need to lead them???Msilolijua yule Mama alitamani sana kuachana na Mambo ya uraisi ila ndo walioko nyuma yake wanamforce alioneshwa hizo video na alizima zaidi ya mara moja na ndo maana kama ulimfuatilia zile siku za mwanzo hakuwa sawa. Kuna yule Mzee wa Gasom na wale wenzake Mama wa kule ng'ambo ya bahari ya pasific wanamtumia sana kwa ajili ya agenda zao za kitamaa na kishetani.
Pray for kanyingata.. Yajayo sio Mazuri kuanzia tarehe tano mambo mapya yatawekwa wazi na hayatowavutia wengi