Ushauri mzuri mnoKuna wakati kiongozi unapaswa kusema nimekosea na najiengua na ukabaki na heshima kubwa
Ila vizazi vilivyolelewa 70s na beyond kidini vingi ni muchknow havina unyenyekevu wa asili
Wao kauli mbio yao ni nazi haishindani na jiwe na wao nadhani dunia waliyolelewa wao kwa upumbavu wao ndio Waliyopo.!
Sisemi ajiengue ila anapaswa akiri makosa na awajibike kwa vitendo
Maana yake akubali sintofahamu iliyotokea na kukiri kuisawaziza kwa kukirimu kadiri awezavyo
Na Baada ya hapo awaruhusu watanzania wamuhukumu kadiri wawezavyo na ndio heshima yake itazidi waliompita kwa durufu ya maradufu
Vaa mwenyeweRais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni matiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
ChaiMsilolijua yule Mama alitamani sana kuachana na Mambo ya uraisi ila ndo walioko nyuma yake wanamforce alioneshwa hizo video na alizima zaidi ya mara moja na ndo maana kama ulimfuatilia zile siku za mwanzo hakuwa sawa. Kuna yule Mzee wa Gasom na wale wenzake Mama wa kule ng'ambo ya bahari ya pasific wanamtumia sana kwa ajili ya agenda zao za kitamaa na kishetani.
Pray for kanyingata.. Yajayo sio Mazuri kuanzia tarehe tano mambo mapya yatawekwa wazi na hayatowavutia wengi
Mwenzako yupo anaona Dunia inamwelemeaAsiwe na huruma na wahalifu nyumbu yoyote atakaefanya uhalifu akichoma mali ya mtu au kufanya chochote kwanzia leo apigwe risasi afe hapohapo mbele ya mali aliyochoma au aliyoiba haijalishi watakufa nyumbu wangapi hata laki 3.
Hakuna huruma kwa wahalifu.
Wewe chokor chunga sana maneno yako JF ina server zinazokaa muda mrefu sana,huu upupu unaoandika hapa ipo siku kila neno utalitolea hesabu mark my word nitakuja siku moja nikutie mikononi mwangu na nitakufanya hamna,Asiwe na huruma na wahalifu nyumbu yoyote atakaefanya uhalifu akichoma mali ya mtu au kufanya chochote kwanzia leo apigwe risasi afe hapohapo mbele ya mali aliyochoma au aliyoiba haijalishi watakufa nyumbu wangapi hata laki 3.
Hakuna huruma kwa wahalifu.
Yaani ukisikia ulinunua gari ya mchongo halafu polisi wanaitafuta ndiyo hali ya huyu mama anatamani uhuru wa muuza vitumbu pale darajaniRais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni matiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Nyumbu weweWewe chokor chunga sana maneno yako JF ina server zinazokaa muda mrefu sana,huu upupu unaoandika hapa ipo siku kila neno utalitolea hesabu mark my word nitakuja siku moja nikutie mikononi mwangu na nitakufanya hamna,
Now maneno yangu ni mikwara mbuzi kama keyboard worior kwako ila remember my code
Dumas the terrible
Nitakukumbusha hii avatar out of JF!
Upole huku ndugu zetu wamekufa..Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni matiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Thank you dear friend welcome to the terrible service!Nyumbu wewe
Nyumbu siku zote ni chakula cha mambaThank you dear friend welcome to the terrible service!
29-9Nyumbu siku zote ni chakula cha mamba
Moja itakua tarehe yako ya kifo29-9
😃😃😃😃😃😂🤣Sio Kwa ubaya mwananchi mwenzangu
Subiri uuliwe mwanao au mmeo ndio ukavae hivyo viatu vyake vzr!Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.