Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

Ushauri hakuna ila βŒšπŸ’― haijaisha mpaka iishe your days are numbered
 
Shida sio tu kwasabu ya Mo29 bali raia hawataki kupangiwa mtu wa kuwaongoza.
 
Acha twende hivihivi… dharau nyingi acha ulimwengu umfundishe
 
Hii inaitwa ukichimama nchale, ukikaa nchale, ukitembea nchale na ukirarara nchale.

Unashauriwa na fomfoo wambura na mwenzake mlilo ubaki salama? Akili yao inajua kila shida inatatuliwa kwa manguvu na vitisho tu na unamsifia kifua kipana then upate solutions za matatizo? Kalagabaho, inakuja siku watamuachia tu mzigo wote
 
πŸ˜‚πŸ€£Sio Kwa ubaya mwananchi mwenzangu

Hajakiri wala kutubu, bado anaamini wakosoaji tu ndio wenye makosa na adhabu (including kifo) waliyopata walistahili ni yeye na wenzake wapo sahihi kwa kila kitu. Ukitaka kujua akili yake na washauri wake tazama wakati nchi imevimba namna hii bila aibu kampa mkwewe na mwanae uwaziri na bila aibu kaamua kuunda eti "tume ya maridhiano" akaweka sisiemu tupu na wengine kama waziri wa ulinzi ni mtuhumiwa wa moja kwa moja, yani ndio uamini common sense is not common!
 
Mtume alijibu kwa upole akiwa na Hali mbaya "wasamehe hao watu wasamehe hawajui walitendalo wasamehe nacho omba ni wao na vizazi vyao siku moja wamgeukie mungu TU,
Kama Mtume S.A.W. alikuwa na hulka na mapito ya kinyenyekevu, upole na misamaha, ni kwa nn Waislam wengi wanakuwa na militant disposition na wanazi wakali kwenye utetezi wa Waislam wenzao hata ambapo hakuna logic ya kumtetea mwenzao ambae kaharibu. Mafundisho au influence hiyo inapatikana wapi kwenye Uislam.
 
Kikubwa Cha kwanza kibaya washauri wake sijui aliwachagua ama alipewa hao watu ni wabaya hawafai...
Cha pili asikilize watu wanataka Nini kabla ya D9 ili kuliponya taifa
 
Huo Mkwara kamtishe Myebusi Maghayo Busu la Kenge
 
Kufunga mtandao kama X, JamiiForums nk nk inaumiza uchumi na elimu kwa raia...
Ubabe ubabe usio na tija una mwisho mbaya mbele..
Kudai na kushurutisha AMANI, UTULIVU huku yeye na genge lake likifaudi keki yaTaifa na kuwadharau na kujifanya sisi wengi hatuna umuhimu wa maisha bora ni kosa kubwa na anguko kwa serikali na chama chake...
Kuna madikteta WABAYA na wenye sifa mbaya wameondoka madarakani na kudhalilishwa na raia duniani kuliko yeye, akumbuke hili..
Kubana na kulazimisha vyombo vya habari kutokukosoa serikali na chama chake kunazidisha ujinga na kuleta udumaavu wa akili kwa raia..
Akumbuke madaraka yana mwisho, kizazi chake kitabaki duniani, je kwa yeye kututesa, nyanyasa, baka, uq, bambika makesi ya uongo ya kihaini ANAWATENGENEZEA MAISHA YA AINA GAN KIZAZI CHAKE TANZANIA?!
 
Oya Kausha

Sisi CDM tunapitia upepo huu huu mana kushindana nae hatuwezi acha tuwajaze wananchi
 
Mashaka ni mengi,ni kama tushafika kwenye dead end! Yale wengi wasiyoyatamani yanaenda kutokea.itakua mbaya!
 
Busu la Kenge
 
Kabla ya Oktoba 29 wadau walishauri mengi tu ila yote yalipuuzwa.
 
Mkuu na sisi tuliozaliwa miaka ya 60-69 hebu tuambie tabia zetu tukoje halafu na mimi nitapandilia nikuambie ninavyojisikia na kuchukulia mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…