Tuvunje Wizara ya Ardhi na Tamisemi tuwape Wazungu

Tuvunje Wizara ya Ardhi na Tamisemi tuwape Wazungu

una uhakika na tuhuma ulizonipatia au ndio umeona sawa kuropoka kwa maandishi, pole

kwa kifupi, idara ya ardhi haipo TAMISEMI

mwambie mtoa mada aache ndoto za mchana, haiwezekani wizara kufutwa na kupewa wazungu labda kichaa ndio mwenye kuwaza hvyo

malalamiko idara ya ardhi yako mengi
1. Migogoro ya mipaka
2. Ujenzi holela
3. Utapeli ktk umiliki wa ardhi
4. Maeneo kutokupimwa kwa wakati sahihi

migogoro yote hiyo inaweza kuisha kwa maeneo\ardhi kupimwa na kuwa na database inayoweza kufikiwa na mwananchi kihurahisi ht kwa kutumia simu janja
Shida moja wahuni wako wizaran hawahamishwi na wakihakishwa wanakpelekea n balaa zaidi
Kazinikunakazi
 
Hivi kweli kwenye miji yetu hii mikubwa tumeshindwa kujenga masoko ya kisasa kwenye vituo vikubwa vya mabasi yenye uwezo wa kua accommodate hata wafanyabiashara 4000-5000?
Yanajengwa pembezoni mwa mji watu hawataki kwenda huko, soko lijengwe eneo km ilivyo mlimani city vile sasa Wewe soko unaenda kulificha samvulachole huko nani aende
 
Elimu zinatolewa, sheria zipo wazi, mpaka mega phone zinashinda kutwa zikisema marufuku...

Ila bado mtu anakuja kujitundika hapo hapo...
Hapo wapite naoo tu ili wengine wajifunze
Kusikia kwa kenge
 
They have killed the our past and they are busy killing our future.( Egoism)
 
eti Wazungu 😆😆
Huwezi kumkwepa mzungu kwenye kitu kinaitwa ustaarabu wa kuishi.

Ametuacha mbali sana sisi waafrika weusi!

Kama hujatoka nje ya Tanzania na kufika kwenye nchi zao hutaelewa ila kama umetoka utaelewa.
 
Back
Top Bottom