Lord denning WIZARA YA ARDHI TUWAPE MAREKANI.
Yani kuna upuuzi unaendelea mpaka unatakamani wakoloni warudi hata leo ya Adhuhuri.
Imagine Mji unawekwa bustani za wazi, kuna watu wanajiita makada wa chama "wanabadilisha matumizi na kujenga nyumba".
viwanja vya wazi vimefanywa garage nchi nzima.
Miji haina green belt.
Jangwani palipaswa kupandwa mikoko namiti mingine ila sisi tunataka tupaki mafuso.
Kinondoni , ilala na kigamboni hata pale magopmeni kwa mkuu wa wwilaya maeneo yote ya wazi makada wamegawana na wameweka makontena wanajifanya ni temporary lakini ukweli ni kwamba tangu nipo mtoto hawa makada wakiweka kontena hiyo ni permanent.
chiembe 6 Pack pale Mikocheni panaitwa "kwa Mwenyekiti" wanauza KITIMOTO, karibu na TLS au kwa KIKWETE, ni open space katikati ya makazi ya watu, huu ni mwaka wa 40 wameweka kontena wanasema ni temporary, Miaka 40 si mtu mwenye Hati ya kiwanja ya miaka 33 imeisha na sasa ana renew?
Watu wa mipango miji hata nyumba zao zenyewe hawajui kupanga. Hivi unawekaje msikiti au kanisa katikati ya magodown?
Unatoaje kibali cha restaurant katikati ya vyoo nas mitaro ya maji?