Tuvunje Wizara ya Ardhi na Tamisemi tuwape Wazungu

Shida moja wahuni wako wizaran hawahamishwi na wakihakishwa wanakpelekea n balaa zaidi
Kazinikunakazi
 
Hivi kweli kwenye miji yetu hii mikubwa tumeshindwa kujenga masoko ya kisasa kwenye vituo vikubwa vya mabasi yenye uwezo wa kua accommodate hata wafanyabiashara 4000-5000?
Yanajengwa pembezoni mwa mji watu hawataki kwenda huko, soko lijengwe eneo km ilivyo mlimani city vile sasa Wewe soko unaenda kulificha samvulachole huko nani aende
 
Waafrika tuna uvivu wa kutafakari na kutumia akili...
 
Elimu zinatolewa, sheria zipo wazi, mpaka mega phone zinashinda kutwa zikisema marufuku...

Ila bado mtu anakuja kujitundika hapo hapo...
Hapo wapite naoo tu ili wengine wajifunze
Kusikia kwa kenge
 
They have killed the our past and they are busy killing our future.( Egoism)
 
Kila mtu anajenga fremu nje ya nyumba yake
Ndo hapo sasa. Hakuna hata utaratibu.

Barabara kubwa mtu anajiamulia tu kujenga kibanda chake anajijengea tu!

Tunaishi kama wanyama wa porini kwa kweli
 
eti Wazungu πŸ˜†πŸ˜†
Huwezi kumkwepa mzungu kwenye kitu kinaitwa ustaarabu wa kuishi.

Ametuacha mbali sana sisi waafrika weusi!

Kama hujatoka nje ya Tanzania na kufika kwenye nchi zao hutaelewa ila kama umetoka utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…