Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Unazungumzia Shinyanga mkoa au mjini! Shinyanga matajiri wengi wako Kahama tena wengi ni wazawa!
Uchumi umeshikiliwa na waarabu na wahindi
Sasa mkoa kama Shinyanga kuna tajiri gani zaidi ya waarabu matajiri wa Mabus ya Ally's Star
Na mzee Mohamed wa Mabus ya Mohamed Trans sema nae alipitia mitihani ya kufilisiwa
 
Kishimba ni tajiri hapo Dar ndo usiseme! Lamada hotel and Appartment,Dar Free Market,Rock Beach Mwanza,Mwenge Dar na Dodoma ana majumba kila kona! Bado kwenye Industry ya Madini!
Si ndo huyo kajenga jenga lodge huko kahama? Mbona anamiliki mali za kawaida sana hawezi kuingia kwenye list ya matajiri
 
Kishimba ni tajiri hapo Dar ndo usiseme! Lamada hotel and Appartment,Dar Free Market,Rock Beach Mwanza,Mwenge Dar na Dodoma ana macumba kila kona! Bado kwenye Industry ya Madini!
Basi ni tajiri kwelikweli
 
Manyara Kuna mtu anaitwa Kanunga ni masai wa Madini ukija Arusha kuna Muhindi anaitwa Dallya ana kampuni inaitwa Alpha group ,Lema wa Northern engineering, kuna Muhindi anaitwa Bansal ndio mwenye Bansal Steel na Bansal Transportation, Hans Paul naye Yumo Kuna Familia ya Mtei hii familia ni Mafuta matupu. Ukija moshi kuna Familia ya Mzee Marenga, Lasway, Ndesamburo
 
Mbinga kuna tajiri mmoja mkimya sana. Anaitwa Said Banda. Huyu ni hatari sana
Amewekeza kwenye nini, halafu Kuna jamaa kutoka hukohuko Mbinga namuonaga insta anaitwa mchungaji thobi, anaonekana yupo njema sana
 
Zongii ana kiwanda kabisa
 
Wewe ni ndo yule mke mdogo
 
Wewe ni ndo yule mke mdogo
kiufup huwa napendaga sana dharau ila sipendagi kumdharau mtu ila naona unanitengezea mazingira ya kukudharau mi ni kama oil ukinichafua sichafuk ila nikikuchafua doa langu halitatoka wenzako walini block wasione, uzi wangu wala coment zangu pleas tunza heshima yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…