babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Waturutumbi wengi aisee,ukifika wanakushangaa wewe na wewe unawashangaa.Daaah na wewe takua nakujua maana hio mitaa ya kinondoni ndio ilikua yetu enzi, Omary Urembo nafikiri ndio yule tulikua tukimuita Omari kichwa nasikia na yeye alivuta pia, Sanga nae story yake nilisikia hivyo hivyo ulivosema. Mie nilivoona bongo miyeyusho mpunga niliovuta long room nikaona nitambae kwa Joe Biden mpaka leo nikija huko ni vacation tu week 2/3 narudi zangu. bongo ya sasa imejaa waturutumbi wengi haisomeki.Huyo Peter ndio simsikii kabisa. Kinondoni ilikua motoooo.