Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Ni mkurugenzi wa blogu[emoji3][emoji3] sasa hivi anachambana na wajukuu zake online wakimzidi hoja anawablock.

Huyo ndio Le Mutuz Mobimba nyenyenyenyenye.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila zamani aiseee,watu walikua na viofisi vya ajabu tu dsm, na walikua wanapiga pesa hatari!

Hapo clock tower,karibu na round about ya exim bank,watu walikua wanajipigia tu pesa,enzi hizo 2005-2009?? Akaja leta uswahili Dkt Mwakyembe enzi zile akiwa Waziri wa Uchukuzi,akawa anavamia ofisi za watu,nakuacha maumivu! Watu walimfinya,akatulizwa! Hadi na Wizara alihamishwa kama sijakosea!
 
Mwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena malipo ya cash dirishani.

Kuna mwamba bandarini tulikuwa tunamuita George Bush kuhonga gari ilikuwa kitu cha kawaida baada ya Mwakyembe kufagia uchafu bandarini George Bush akabaki jina tu na tumeshamzika kaburini tayari, na baada ya sponsor kufa wale mademu wanufaika wasiotumia akili kwa sasa wamepauka balaa sponsor kafa.
😄😄

Mchawi control number.😄😄
 
Mwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena makipo ya cash dirishani.

Kuna mwamba bandarini tulikuwa tunamuita George Bush kuhonga gari ilikuwa kitu cha kawaida baada ya Mwakyembe kufagia uchafu bandarini George Bush akabaki jina tu tu na tumeshamzika kaburini tayari, na baada ya sponsor kufa wale mademu wanufaika wasiotumia akili kwa sasa wamepauka balaa sponsor kafa.
[emoji1][emoji1]

Mchawi control number.[emoji1][emoji1]
Hahaha dah haya maisha

Fujo tu

Ova
 
kingine ni maendeleo ya tehama nchini. yamerahisisha sana kuondoa/kupunguza janjajanja na ukiritimba ktk utoaji wa huduma serikalini hasa zile huduma zinazohusu masuala ya kulipa ushuru,kodi na forodha.

wapigaji wengi walikuwa walificha eneo hilo.
 
Mwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena malipo ya cash dirishani.

Kuna mwamba bandarini tulikuwa tunamuita George Bush kuhonga gari ilikuwa kitu cha kawaida baada ya Mwakyembe kufagia uchafu bandarini George Bush akabaki jina tu na tumeshamzika kaburini tayari, na baada ya sponsor kufa wale mademu wanufaika wasiotumia akili kwa sasa wamepauka balaa sponsor kafa.
😄😄

Mchawi control number.😄😄
Huyo George Bush alikuwa anarushwa sana na Mzee Gurumo.
 
Uzi mtamu saana huu, nimeuchelewa, lakini hakijaharibika kitu, vile vichache nilivyokuwa navijua viingi wadau wamechangia, na vingi ambavyo nilikuwa sijui nimeokota okota..

Kama masihara nimejikuta naanza moja mpaka mwisho
 
Mwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena malipo ya cash dirishani.

Kuna mwamba bandarini tulikuwa tunamuita George Bush kuhonga gari ilikuwa kitu cha kawaida baada ya Mwakyembe kufagia uchafu bandarini George Bush akabaki jina tu na tumeshamzika kaburini tayari, na baada ya sponsor kufa wale mademu wanufaika wasiotumia akili kwa sasa wamepauka balaa sponsor kafa.
😄😄

Mchawi control number.😄😄
Daah nafikiri huyo George Bush ndio yule George Nyari?? alikua na pesa mingi ya kutoa pale long room akikuacha na pesa ndogo ni ka laki hivi.Jamaa alikua na ukwasi wa haja si mchezo. Enzi hizo ukiwa long room huna pesa basi wewe ni mzembe wa kutupa maana hadi ma messenger tu wa kupeleka documents bandarini walikua na ukwasi wa kutisha kuna ki jamaa kimoja cha kihaya akiitwa Ngaiza, kazi yake mle long room alikua messenger tu lakini pesa aliokua nayo aliwazidi ma boss kibao wa kukaa ofisini..kipindi cha mzee rukhsa kilikua na neema sana akaja mkapa akaanza kuua taratibu mtiririko wa pesa. Na jamaa wengi wa C&F na wa long room wakaanza kufa ni balaa.. ngoma ipo!!!!
 
george bush mnyari. hili jina lilikuwa linatajwa sana na merehemu TX moshi william kwenye nyimbo za band ya msondo ngoma.

NB: ukimwi wa zamani umewadondosha sana watu, halafu walikuwa wanapitia mateso mengi sana ya homa za ajab ajabu.
 
Ndio huyo huyo aliimbwa sana na TX Moshi William, alikua na ukwasi wa kufa mtu , Ukimwi umewamaliza sana watu wa enzi yetu hapo L/R na ma C&F wengi pia. Mie kuna jamaa mmoja alikua kampuni moja ikiitwa Transit aliondoka na ngoma basi nikajua mnyororo wakeni mrefu maana jamaa alikua akiwacharaza mademu wakali wakali wale waliokua wakikimbiza documents.Tuwaombee walotangulia mbele za haki ni wengi sana ndugu yangu. Kuna jamaa mwingine nae alikua akiitwa Mau alikua nazo nyingi sana sijui alisalimika sijamsikia muda mrefu.
 
Back
Top Bottom