babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Na yupo wapi jamaa,bando limegima mpk leoHata Le Mutuz naye anatajwatajwa sana na mabendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yupo wapi jamaa,bando limegima mpk leoHata Le Mutuz naye anatajwatajwa sana na mabendi
Jela hapafai hasikiki tena kwisha habar yakeAmeacha utapeli?
Acha utani wewe,Aisha anajiunga twanga Jesca kashaondoka siku nyingi.Twanga ya Mango! jamani we acha tu, miuno ya akina Aisha Madinda,Jesca likiisha dansi saa kumi lazima utafute kimeo kwenda kulipiza... na vimeo vilikuwa vya kumwaga.
Before alikua mchaga anamiliki na Bar kuubwa ilikuwepo,alipigwa mkwanja na Rwegasira akatakiwa ye aondoke tu aache kila kitu.Silent inn haukuwa ya muhaya mmiliki alikuwa mchaga nl
Ni mkurugenzi wa blogu😀😀 sasa hivi anachambana na wajukuu zake online wakimzidi hoja anawablock.Na yupo wapi jamaa,bando limegima mpk leo
Mwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena malipo ya cash dirishani.Ila zamani aiseee,watu walikua na viofisi vya ajabu tu dsm, na walikua wanapiga pesa hatari!
Hapo clock tower,karibu na round about ya exim bank,watu walikua wanajipigia tu pesa,enzi hizo 2005-2009?? Akaja leta uswahili Dkt Mwakyembe enzi zile akiwa Waziri wa Uchukuzi,akawa anavamia ofisi za watu,nakuacha maumivu! Watu walimfinya,akatulizwa! Hadi na Wizara alihamishwa kama sijakosea!
Hahaha dah haya maishaMwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena makipo ya cash dirishani.
Kuna mwamba bandarini tulikuwa tunamuita George Bush kuhonga gari ilikuwa kitu cha kawaida baada ya Mwakyembe kufagia uchafu bandarini George Bush akabaki jina tu tu na tumeshamzika kaburini tayari, na baada ya sponsor kufa wale mademu wanufaika wasiotumia akili kwa sasa wamepauka balaa sponsor kafa.
[emoji1][emoji1]
Mchawi control number.[emoji1][emoji1]
kingine ni maendeleo ya tehama nchini. yamerahisisha sana kuondoa/kupunguza janjajanja na ukiritimba ktk utoaji wa huduma serikalini hasa zile huduma zinazohusu masuala ya kulipa ushuru,kodi na forodha.Mwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena makipo ya cash dirishani.
Kuna mwamba bandarini tulikuwa tunamuita George Bush kuhonga gari ilikuwa kitu cha kawaida baada ya Mwakyembe kufagia uchafu bandarini George Bush akabaki jina tu tu na tumeshamzika kaburini tayari, na baada ya sponsor kufa wale mademu wanufaika wasiotumia akili kwa sasa wamepauka balaa sponsor kafa.
[emoji1][emoji1]
Mchawi control number.[emoji1][emoji1]
Ni baba yake Shamsa Ford wa Bongo movie pamoja na WabogojoKuna mwamba mwingine alitikisa sana maeneo ya Kariakoo, alikuwa mmoja wa vijana wenye majina makubwa kwenye soko la Kariakoo mle ndani karibu na duka la RTC marehemu Ford,hadi maalimu Gurumo akiwa Sikinde alimwimba.
Ni kweli,alishinda kwenye uchaguzi wa marudio baada ya mbunge aliyekuwepo kufarikiCheyo alishawahi kua Mbunge wa Magu?? Mwaka gani huu kamanda!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyo George Bush alikuwa anarushwa sana na Mzee Gurumo.Mwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena malipo ya cash dirishani.
Kuna mwamba bandarini tulikuwa tunamuita George Bush kuhonga gari ilikuwa kitu cha kawaida baada ya Mwakyembe kufagia uchafu bandarini George Bush akabaki jina tu na tumeshamzika kaburini tayari, na baada ya sponsor kufa wale mademu wanufaika wasiotumia akili kwa sasa wamepauka balaa sponsor kafa.
😄😄
Mchawi control number.😄😄
Jesca yupi unaemzungumzia wewe, jesca charlz, kacheki video ha mtu na pesa zake utawaona wote wapo mule.Acha utani wewe,Aisha anajiunga twanga Jesca kashaondoka siku nyingi.
Labda useme Lilian Internet.
Daah nafikiri huyo George Bush ndio yule George Nyari?? alikua na pesa mingi ya kutoa pale long room akikuacha na pesa ndogo ni ka laki hivi.Jamaa alikua na ukwasi wa haja si mchezo. Enzi hizo ukiwa long room huna pesa basi wewe ni mzembe wa kutupa maana hadi ma messenger tu wa kupeleka documents bandarini walikua na ukwasi wa kutisha kuna ki jamaa kimoja cha kihaya akiitwa Ngaiza, kazi yake mle long room alikua messenger tu lakini pesa aliokua nayo aliwazidi ma boss kibao wa kukaa ofisini..kipindi cha mzee rukhsa kilikua na neema sana akaja mkapa akaanza kuua taratibu mtiririko wa pesa. Na jamaa wengi wa C&F na wa long room wakaanza kufa ni balaa.. ngoma ipo!!!!Mwakyembe ndio alileta system ya kulipa malipo bank pale bandarini, hii ilipelekea wale macashier kufa natural death hakuna tena malipo ya cash dirishani.
Kuna mwamba bandarini tulikuwa tunamuita George Bush kuhonga gari ilikuwa kitu cha kawaida baada ya Mwakyembe kufagia uchafu bandarini George Bush akabaki jina tu na tumeshamzika kaburini tayari, na baada ya sponsor kufa wale mademu wanufaika wasiotumia akili kwa sasa wamepauka balaa sponsor kafa.
😄😄
Mchawi control number.😄😄
Hata huko kwenu Geita alikuwepo mmoja!!!Maada nzuri imenivutia Sana tuwasubiri wakuu wa town waje kutujazia nyama.
george bush mnyari. hili jina lilikuwa linatajwa sana na merehemu TX moshi william kwenye nyimbo za band ya msondo ngoma.Daah nafikiri huyo George Bush ndio yule George Nyari?? alikua na pesa mingi ya kutoa pale long room akikuacha na pesa ndogo ni ka laki hivi.Jamaa alikua na ukwasi wa haja si mchezo. Enzi hizo ukiwa long room huna pesa basi wewe ni mzembe wa kutupa maana hadi ma messenger tu wa kupeleka documents bandarini walikua na ukwasi wa kutisha kuna ki jamaa kimoja cha kihaya akiitwa Ngaiza, kazi yake mle long room alikua messenger tu lakini pesa aliokua nayo aliwazidi ma boss kibao wa kukaa ofisini..kipindi cha mzee rukhsa kilikua na neema sana akaja mkapa akaanza kuua taratibu mtiririko wa pesa. Na jamaa wengi wa C&F na wa long room wakaanza kufa ni balaa.. ngoma ipo!!!!
Ndio huyo huyo aliimbwa sana na TX Moshi William, alikua na ukwasi wa kufa mtu , Ukimwi umewamaliza sana watu wa enzi yetu hapo L/R na ma C&F wengi pia. Mie kuna jamaa mmoja alikua kampuni moja ikiitwa Transit aliondoka na ngoma basi nikajua mnyororo wakeni mrefu maana jamaa alikua akiwacharaza mademu wakali wakali wale waliokua wakikimbiza documents.Tuwaombee walotangulia mbele za haki ni wengi sana ndugu yangu. Kuna jamaa mwingine nae alikua akiitwa Mau alikua nazo nyingi sana sijui alisalimika sijamsikia muda mrefu.george bush mnyari. hili jina lilikuwa linatajwa sana na merehemu TX moshi william kwenye nyimbo za band ya msondo ngoma.
NB: ukimwi wa zamani umewadondosha sana watu, halafu walikuwa wanapitia mateso mengi sana ya homa za ajab ajabu.
Jesca na Aisha wapo pamoja nyimbo nyingi tu, labda mdau kapitiwa kidogo.Jesca yupi unaemzungumzia wewe, jesca charlz, kacheki video ha mtu na pesa zake utawaona wote wapo mule.