Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Huu uzi siyo wa wakongwe ni wa vijana wa mjini! Nimesoma kuanzia page ya kwanza mpaka mwisho. Nimejifunza mengi. Kwa upekee kabisa, shukrani kwa wahenga wenzetu mrangi Matola mfianchi Carlitos Way na wengine wengi. Heshima kwenu.
kikubwa vijana wa leo wajifunze. Babu wa leo alikuwa Kijana wa juzi. Kwa ufupi, hakuna jipya chini ya hii dunia. Na kwa wahenga, lazima tutambue siku hazigandi. Tukubali kuishi kulingana na mazingira. Kwa waliotangulia kwenye Ulimwengu wa kweli na haki, tuzidi kuwaombea pumziko la amani.
ofcourse heshima za pekee kwa Mleta mada!
tuendelee kujifunza.