Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Huu uzi siyo wa wakongwe ni wa vijana wa mjini! Nimesoma kuanzia page ya kwanza mpaka mwisho. Nimejifunza mengi. Kwa upekee kabisa, shukrani kwa wahenga wenzetu mrangi Matola mfianchi Carlitos Way na wengine wengi. Heshima kwenu.

kikubwa vijana wa leo wajifunze. Babu wa leo alikuwa Kijana wa juzi. Kwa ufupi, hakuna jipya chini ya hii dunia. Na kwa wahenga, lazima tutambue siku hazigandi. Tukubali kuishi kulingana na mazingira. Kwa waliotangulia kwenye Ulimwengu wa kweli na haki, tuzidi kuwaombea pumziko la amani.

ofcourse heshima za pekee kwa Mleta mada!

tuendelee kujifunza.
 
[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]
giphy.gif
 
Acha utani wewe,Aisha anajiunga twanga Jesca kashaondoka siku nyingi.
Labda useme Lilian Internet.
Dah!! lilian internet. those days i use to have some crush feelings for her.

ni vile tu nilikuwa sina michongo ya kueleweka, ila ingekuwa miaka hii ya sasa, nisingekubali.[emoji3][emoji3]

kwa sasa amekuwa mdada wa makamo na mama wa familia, nimtakie maisha mema.
 
Mimi hapa mzee wa HOOD sikiliza Twanga pepeta na msondo utanisikia nikila shoutout[emoji41]lakini sikuwa pedeshee
kuna feeling flani ya raha sana pale unaposikia jina lako linatajwa live na wanamuziki wa rhumba/mziki wa dansi.

nilikuja kugundua hili siku moja nikiwa jiji la mwanza katika club ya villapark(siku hizi haipo tena).

rafiki yangu mmoja mkongoman alikuwa ni mmoja ya wanamuziki wa band iliyokuwa inatumbuiza siku hiyo.

alifurahi sana kuniona. ilipofika mda wa band kupanda stejini, akawa anataja jina langu kwa mbwebwe katikati ya wimbo.

nikawa nasikia raha na kujiona mtu mzito sana, baadhi ya watu wakawa wananitazama na kujiuliza, huyu jamaa ni nani?.

nikawa naenda kumtunza nikishindana na baadhi ya vijana wa kanda ya ziwa wanaofanya biashara ya madini(nilikuja kuambiwa hili baadae).

yule mkongo baadae akanifata, akaniambia
"peti, usiwe unakuja stejini kunitunza, wewe tulia kunywa beer huku uki enjoy mziki mzuri, pesa ninayotunzwa na hawa wasukuma inatosha".
 
kuna feeling flani ya raha sana pale unaposikia jina lako linatajwa live na wanamuziki wa rhumba/mziki wa dansi.

nilikuja kugundua hili siku moja nikiwa jiji la mwanza katika club ya villapark(siku hizi haipo tena).

rafiki yangu mmoja mkongoman alikuwa ni mmoja ya wanamuziki wa band iliyokuwa inatumbuiza siku hiyo.

alifurahi sana kuniona. ilipofika mda wa band kupanda stejini, akawa anataja jina langu kwa mbwebwe kila mara katikati wimbo.

Ijumaa moja nenda mawasiliano
Kuna ijumaa mmja nlienda aise
Kulikuwa na watu balaaa...
Twanga pale inajaza
Acha mdgmdg bendi zirudi mkuu

Ova
 
Ijumaa moja nenda mawasiliano
Kuna ijumaa mmja nlienda aise
Kulikuwa na watu balaaa...
Twanga pale inajaza
Acha mdgmdg bendi zirudi mkuu

Ova
nitajitahidi kaka. nipo nje ya dar kwa sasa. nikirudi nitapitia pande hizo kwenda kujikumbusha enzi zetu.

nimemiss sana kuwatazama twanga pepeta waki-perform live.

password ni moja ya nyimbo ninayoipenda sana. Password | Boomplay Music
 
Password yangu ya maisha naijua mjmi..ahhhhhh
Hapo bia iko mkononi tenaaa
Acha tu mzee

Ova
 
kuna feeling flani ya raha sana pale unaposikia jina lako linatajwa live na wanamuziki wa rhumba/mziki wa dansi.

nilikuja kugundua hili siku moja nikiwa jiji la mwanza katika club ya villapark(siku hizi haipo tena).

rafiki yangu mmoja mkongoman alikuwa ni mmoja ya wanamuziki wa band iliyokuwa inatumbuiza siku hiyo.

alifurahi sana kuniona. ilipofika mda wa band kupanda stejini, akawa anataja jina langu kwa mbwebwe kila mara katikati wimbo.

nikawa nasikia raha na kujiona mtu mzito sana, baadhi ya watu wakawa wananitazama na kujiuliza, huyu jamaa ni nani?.

nikawa naenda kumtunza nikishindana na baadhi ya vijana wa kanda ya ziwa wanaofanya biashara ya madini(nilikuja kuambiwa hili baadae).

yule mkongo baadae akanifata, akaniambia
"peti, usiwe unakuja stejini kunitunza, wewe tulia kunywa beer huku uki enjoy mziki mzuri, pesa ninayotunzwa na hawa wasukuma inatosha".
Yes sema gharama ya kutajwa na bendi mara nyingi inakuja hapo unapolazimika kutunza fedha kwa sababu unayoiona kwamba usipomtunza anayekupaisha utakuwa unamchosha bure...wale mapedeshee wanaotajwa na kutunza wanatoa zaidi ya millioni hata tatu kwa siku kwa ajili ya kutunza inabidi uwe mzuri hasaa kifedha...DRC congo huko ndio watu wanatunza hadi millioni 20 kwa siku na ukiona mtu katajwa kwenye wimbo ukue katoa si chini ya millioni 5 atajwe
 
Mtawali-Yadi yake ya Magari inatazamana na Ostabay Police- alikuwa matata kwa totoz! Ila aliwai kutwa na skendo ya kufumaniwa na mke wa jamaa mmoja hivi ambae nae alikuwa mtoto wa Mujini .Ilimfanya siku moja anunue magazeti yote yaliokuwa na hii storyNchi nzima?? Ilikuwaje?? Siku nyingine[emoji23]
Jamaa still Yuko vizuri mpaka Sasa ..
Ila hiyo skendo kumbe Ni kweli ...
Doooh [emoji850]
 
Hawa jamaa wasiojua kusoma na kuandika uwaga wajanja wajanja sana, ila nafikiri hicho ni kipaji fulani mungu kawapatia. Kuna jamaa tuko nae huku mamtoni pande za kwa Biden ni mtoto wa Kariakoo, jamaa hajui kusoma wala kuandika ila mayai anayatema utadhani muamerika na kazi anayofanya ni driver taxi. Sasa uwa najiuliza alipataje pataje viza??? Na yupo USA kitambo toka early 2000s. Ana familia na anaishi vizuri.. kimbembe aletewe barua lazima aniletee nimsomee na kuijibu lazima nimuandikie, jamaa ni mjanja mjanja sana huyo Kizai zai anasubiri.
Sawa hajui kusoma na kuandika, unashangaa vipi kutema yai wakati anaishi mtoni?

Au huko unaweza kuishi na usiweze kizungu?
 
Back
Top Bottom