Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Waturutumbi wengi aisee,ukifika wanakushangaa wewe na wewe unawashangaa.
 
Cheyo alishawahi kua Mbunge wa Magu?? Mwaka gani huu kamanda!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Isack Cheyo Mzee wa Casino sana na watoto wakali! Huyu Mzee nampa salute sana aiseeeee

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mzee mmoja anaitwa Mzee Sulla,alitoka zake huko Shinyanga na pesa,alipofika dsm,kina Simon Kisena walimpiga,nadhani ni zaidi ya 70M miaka hiyo ya 90! Yule Mzee hadi leo hua anawalaani sana kina Kisena na hua akisikia Kisena yuko Kisutu,Mzee anafurahi sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu abdalah nyumba nyingi,yeye alikua na mishe gani
Alikuwa mtoto wa mjini tu,na alikuwa na nyumba za urithi halafu zote zilikuwa za tope kipindi hicho watu wakawa wanamtania NYUMBA NYINGI,kwa mfano huyo KIZA KINENE alikuwa anaendesha tax tu Kinondoni,Kuna Victor Bandari alikuwa muajiriwa wa kawaida tu Bandarini alikuwa anaendesha crane au folk lift pale,hata Fikiri Madinda alikuwa dereva tu wizarani,nadhani mpaka sasa bado anafanya kazi hiyo serikalini.
 
Ubalozi wa south uko mjini Kati kabisa sheikh,sio masaki
Mwandishi wa huu uzi alishawataadharisha mapema, kama umri wako hautoshi basi kuwa msomaji tu ujifunze.

Kipindi hicho South africa tulikuwa tunaenda kwa viza lazima uende hapo masaki kuomba viza, supporting documents ilikuwa ni go and return ticket ya Alliance Airways.
 
Enzi,sio endhi
 
niliwatahadharisha hawa vijana.
 
Uzi una balaa huu
uzi ni wa moto sana. una madini mengi ya watu maarufu wa zamani.

kama unahitaji kufahamu masuala mbalimbali yaliyo kick ndani ya jiji la dar mwishoni mwa miaka 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mpaka 2010, pitia post za huu uzi.
uta enjoy na kuelimika pia.
 
Tena tunaacha deposit ys hela ubalozini...

Siku hzi mtu akiamka tu anakwenda huko [emoji1]

Ova
 
Kuna jamaa mmja anafanya shuguli ya udobby(jina lake limenitoka kdg)
Pesa zake yeye anawapa twanga tu na wanamrushaga ....

Ova
 
Vijana hawajui! Huo Ubalozi kipindi cha nyuma watu,waliwahi sema,wamepanga kwenye Jengo la Eddo! Ingawa Eddo na yeye anaishi mitaa hiyo!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi bondeni ni passport yako tu,na nauli yako! Unatimba kwa Madiba,zamani hadi gamba liwe na Visa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Miaka ya zamani ili uonekane kamili,ngoma ngumu,Shuja
Kwa watoto wa kinondoni lazima uende huko.....ni sawa na kupata chef
Mtaani si heshima na kufagiliwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…