Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Ibunga miyeyusho anachapa bakora kama tuko shuleni kumbe tuition, nilipiga wik moja nikahamia kwa Dani mlokole kifa mburahati
kwa nini hukuenda kwa BR (brother)tution centre?kwa dan hukutoka umeokoka kweli? na zile story zakeza mwisho wa dunia?
 

trend hii ya wanamuziki wa rhumba kutaja majina ya watu kwenye nyimbo zao kule drc inafahamika kama libanga au kwa kingereza ni commercialised praise singing.

ni kweli kuna wakati inamlazimu yule anayetajwa kuingia gharama zaidi ili jina lake liendelee kutajwa mara nyingi kwenye nyimbo. ni win win situation kwa pande zote mbili.

kwa mfano inasemekana mwanadada tajiri wa kikongo almaarufu kwa jina la Tabou Fatou aliwahi kumlipa fally ipupa fedha nyingi ili amtaje ktk album yake ya kwanza ya droit chemin iliyotoka mwaka 2006.

ndani ya hii album kuna track moja tamu sana ambayo fally kamtaja mara nyingi bibie Tabou Fatou. track hiyo inaitwa Liputa.unaweza ukaisikiliza hapa kupitia app ya boomplay
Liputa | Boomplay Music
 
Villa park haipo siku hivi au band ndiyo haipo siku hizi?? Ha ha ha ha ha kwamba pet wewe tulia kunywa beer,hela za hawa jamaa zinatosha?? Kweli we jamaa ulikua na jina! Mimi hua natajwa sana na band za huku kwetu Lindi,hasa hapa paris Club,unasikia tu Baba Diana, naenda kutoa buku ten
 
Magufuli aliipiga vita Villa park kisa ya mchaga ikabomolewa.

Magufuli alikuwa na chuki za wazi na wachaga na watu wa kaskazini kwa ujumla.

Mchaga yeyote aliyempigia kura Magufuli basi hana akili au ni mtumwa wa akili tu na mnafki wa hali ya juu.

Ila nimesikia Villa inarudi sina uhakika sijaenda Mwanza muda kidogo.

Hiyo band iliyokuwa inapiga hapo Villa yenye Wacongo wengi inaitwa Kamanyola wapo vizuri kwelikweli, copy zote za Wenge Musica wanapiga mpaka utasema JB Mpiana na Werrason ndio wapo kwa stage.

Ally Chock alipoondoka Twanga alikwenda Mwanza kuiongezea nguvu Kamanyola na nyimbo zake zote alizotunga akiwa Twanga zikawa zinapigwa na Kamanyola, kwa mpenzi halisi wa Rhumba hawa jamaa ni hatari, na sifa kuu waliyotupiga bao Wacongo muda wa kushambulia jukwaa waimbaji wote wanashambulia jukwaa bila kuwategemea wacheza show.
 
Duh! Noma sana aiseeee! Ule uwekezaji ulikua mkubwa sana aiseee! Kama ndo hivi jamaa alirudi nyuma sana
 

kuna kipindi fulani wakati mziki wa dansi upo kwenye chati, nilijenga ukaribu na baadhi ya wanamuziki wa kicongo hapa nchini. wapo ambao bado ni rafiki zangu mpaka sasa.

mwanamuziki ambaye alikuwa anataja jina langu siku hiyo alikuwa ni rafiki yangu sana, alikuwa ananitaja kama sehemu tu ya kudumisha urafiki wetu, ndio maana akaona hakuna haja ya mimi niwe nanyanyuka kila mara kwenda stejini kumtunza.

kuhusu villapark ni kweli haipo tena, kama kumbukumbu zangu zipo sawa, mara ya mwisho kwa hii lounge kuwa active ni 2019 au mwanzoni mwa 2020.

hii lounge licha ya kwamba haipo tena, imebeba kumbukukumbu nzuri kuhusu mimi na misele yangu ya jiji la mwanza. kila nikifika mwanza, picha ya kwanza inayonijia kichwani ni villapark.

sitosahau rosti ya sato na sato wa kuoka kwenye foil niliokuwa nakula pale, it was superb.

View attachment 2288603View attachment 2288605View attachment 2288604
Your browser is not able to display this video.

View attachment 2288640View attachment 2288641View attachment 2288642View attachment 2288644
 

nasikia watu wa TRA walikuwa wanamwekea makadirio makubwa sana ya kodi. ikafika time jamaa akashindwa kuendesha biashara yake.

halafu kumbuka lile eneo ni la chama dola(ccm), jamaa alikuwa mpangaji tu. labda ndio maana chini ya utawala ule ilikuwa rahisi kushughulikiwa.

ila wengine wanadai aliyeifilisi villa ni shemeji wa mmiliki wa ile lounge ambaye alikuwa anaisimamia kama meneja(ni mchaga pia).

wanadai jamaa alikuwa halipi kodi huku akimdanganya shemeji mtu kwamba kila kitu kipo sawa. pia wanadai hakuwa na maelewano mazuri na wafanyakazi(ni tetesi lakini).
 
Villa Park mwanza ilifunguliwa tena mwaka Jana nafikiri Kati ya mwezi wa kumi au wa kumi na moja. So kwa sasa ipo inapiga mzigo kama kawa
 
Villa Park mwanza ilifunguliwa tena mwaka Jana nafikiri Kati ya mwezi wa kumi au wa kumi na moja. So kwa sasa ipo inapiga mzigo kama kawa
hii ni habari nzuri sana kwangu. nitampigia simu mdau wangu mmoja wa mitaa ile ya rock city mall ili ni-confirm.

i hope itakuwa imerudi kwa ubora uleule.
 
Villa Park mwanza ilifunguliwa tena mwaka Jana nafikiri Kati ya mwezi wa kumi au wa kumi na moja. So kwa sasa ipo inapiga mzigo kama kawa

hii ni habari nzuri sana kwangu. nitampigia simu mdau wangu mmoja wa mitaa ile ya rock city mall ili ni-confirm.

i hope itakuwa imerudi kwa ubora uleule.

nimetoka kuongea na jamaa yangu wa pande zile za rock city mall/kirumba, kaniambia ni kweli villapark ipo active, ilifunguliwa mapema mwaka huu.

ila management wana kazi kubwa ya kuibrand upya. wakibweteka kwa kutaka kutumia umaarufu uleule wa miaka ile, itawafia. ushindani wa kibiashara wa maeneo ya starehe huwa ni mkubwa sana.
 
Fikiri Madinda tupo nae Dodoma ni Dereva wa Wizara ya Kilimo, Leo tulikuwa nae mitaa Fulani hivi...Ila jamaa kwa Sasa anaishi low key Sana and very humble
 
Fikiri Madinda tupo nae Dodoma ni Dereva wa Wizara ya Kilimo, Leo tulikuwa nae mitaa Fulani hivi...Ila jamaa kwa Sasa anaishi low key Sana and very humble
Dereva ukimdhibiti kwenye log book na kumpigia hesabu za wese kilometer ngapi per liter kwisha habari yake, lazima ajiunge kuimba kwaya kanisani.
 
Naam,nilikosea jina kidogo

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…