Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini hukuenda kwa BR (brother)tution centre?kwa dan hukutoka umeokoka kweli? na zile story zakeza mwisho wa dunia?Ibunga miyeyusho anachapa bakora kama tuko shuleni kumbe tuition, nilipiga wik moja nikahamia kwa Dani mlokole kifa mburahati
Yes sema gharama ya kutajwa na bendi mara nyingi inakuja hapo unapolazimika kutunza fedha kwa sababu unayoiona kwamba usipomtunza anayekupaisha utakuwa unamchosha bure...wale mapedeshee wanaotajwa na kutunza wanatoa zaidi ya millioni hata tatu kwa siku kwa ajili ya kutunza inabidi uwe mzuri hasaa kifedha...DRC congo huko ndio watu wanatunza hadi millioni 20 kwa siku na ukiona mtu katajwa kwenye wimbo ukue katoa si chini ya millioni 5 atajwe
Magufuli aliipiga vita Villa park kisa ya mchaga ikabomolewa.Villa park haipo siku hivi au band ndiyo haipo siku hizi?? Ha ha ha ha ha kwamba pet wewe tulia kunywa beer,hela za hawa jamaa zinatosha?? Kweli we jamaa ulikua na jina! Mimi hua natajwa sana na band za huku kwetu Lindi,hasa hapa paris Club,unasikia tu Baba Diana, naenda kutoa buku ten
Duh! Noma sana aiseeee! Ule uwekezaji ulikua mkubwa sana aiseee! Kama ndo hivi jamaa alirudi nyuma sanaMagufuli aliipiga vita Villa park kisa ya mchaga ikabomolewa.
Magufuli alikuwa na chuki za wazi na wachaga na watu wa kaskazini kwa ujumla.
Mchaga yeyote aliyempigia kura Magufuli basi hana akili au ni mtumwa wa akili tu na mnafki wa hali ya juu.
Ila nimesikia Villa inarudi sina uhakika sijaenda Mwanza muda kidogo.
Hiyo band iliyokuwa inapiga hapo Villa yenye Wacongo wengi inaitwa Kamanyola wapo vizuri kwelikweli, copy zote za Wenge Musica wanapiga mpaka utasema JB Mpiana na Werrason ndio wapo kwa stage.
Ally Chock alipoondoka Twanga alikwenda Mwanza kuiongezea nguvu Kamanyola na nyimbo zake zote alizotunga akiwa Twanga zikawa zinapigwa na Kamanyola, kwa mpenzi halisi wa Rhumba hawa jamaa ni hatari, na sifa kuu waliyotupiga bao Wacongo muda wa kushambulia jukwaa waimbaji wote wanashambulia jukwaa bila kuwategemea wacheza show.
Villa park haipo siku hivi au band ndiyo haipo siku hizi?? Ha ha ha ha ha kwamba pet wewe tulia kunywa beer,hela za hawa jamaa zinatosha?? Kweli we jamaa ulikua na jina! Mimi hua natajwa sana na band za huku kwetu Lindi,hasa hapa paris Club,unasikia tu Baba Diana, naenda kutoa buku ten
Magufuli aliipiga vita Villa park kisa ya mchaga ikabomolewa.
Magufuli alikuwa na chuki za wazi na wachaga na watu wa kaskazini kwa ujumla.
Mchaga yeyote aliyempigia kura Magufuli basi hana akili au ni mtumwa wa akili tu na mnafki wa hali ya juu.
Ila nimesikia Villa inarudi sina uhakika sijaenda Mwanza muda kidogo.
Hiyo band iliyokuwa inapiga hapo Villa yenye Wacongo wengi inaitwa Kamanyola wapo vizuri kwelikweli, copy zote za Wenge Musica wanapiga mpaka utasema JB Mpiana na Werrason ndio wapo kwa stage.
Ally Chock alipoondoka Twanga alikwenda Mwanza kuiongezea nguvu Kamanyola na nyimbo zake zote alizotunga akiwa Twanga zikawa zinapigwa na Kamanyola, kwa mpenzi halisi wa Rhumba hawa jamaa ni hatari, na sifa kuu waliyotupiga bao Wacongo muda wa kushambulia jukwaa waimbaji wote wanashambulia jukwaa bila kuwategemea wacheza show.
Nimekula sana samaki wa hapo! Kitu Brenda Fassie samaki Mkubwa na ugali,aiseeee hatari mnovillapark lounge na kati ya mwanza. picha kutoka maktaba.
View attachment 2288651View attachment 2288652View attachment 2288653View attachment 2288655
Villa Park mwanza ilifunguliwa tena mwaka Jana nafikiri Kati ya mwezi wa kumi au wa kumi na moja. So kwa sasa ipo inapiga mzigo kama kawakuna kipindi fulani wakati mziki wa dansi upo kwenye chati, nilijenga ukaribu na baadhi ya wanamuziki wa kicongo hapa nchini. wapo ambao bado ni rafiki zangu mpaka sasa.
mwanamuziki ambaye alikuwa anataja jina langu siku hiyo alikuwa ni rafiki yangu sana, alikuwa ananitaja kama sehemu tu ya kudumisha urafiki wetu, ndio maana akaona hakuna haja ya mimi niwe nanyanyuka kila mara kwenda stejini kumtunza.
kuhusu villapark ni kweli haipo tena, kama kumbukumbu zangu zipo sawa, mara ya mwisho kwa hii lounge kuwa active ni 2019 au mwanzoni mwa 2020.
hii lounge licha ya kwamba haipo tena, imebeba kumbukukumbu nzuri kuhusu mimi na misele yangu ya jiji la mwanza. kila nikifika mwanza, picha ya kwanza inayonijia kichwani ni villapark.
sitosahau rosti ya sato na sato wa kuoka kwenye foil niliokuwa nakula pale, it was superb.
View attachment 2288603View attachment 2288605View attachment 2288604View attachment 2288606View attachment 2288608
View attachment 2288640View attachment 2288641View attachment 2288642View attachment 2288644
hii ni habari nzuri sana kwangu. nitampigia simu mdau wangu mmoja wa mitaa ile ya rock city mall ili ni-confirm.Villa Park mwanza ilifunguliwa tena mwaka Jana nafikiri Kati ya mwezi wa kumi au wa kumi na moja. So kwa sasa ipo inapiga mzigo kama kawa
Villa Park mwanza ilifunguliwa tena mwaka Jana nafikiri Kati ya mwezi wa kumi au wa kumi na moja. So kwa sasa ipo inapiga mzigo kama kawa
hii ni habari nzuri sana kwangu. nitampigia simu mdau wangu mmoja wa mitaa ile ya rock city mall ili ni-confirm.
i hope itakuwa imerudi kwa ubora uleule.
Fikiri Madinda tupo nae Dodoma ni Dereva wa Wizara ya Kilimo, Leo tulikuwa nae mitaa Fulani hivi...Ila jamaa kwa Sasa anaishi low key Sana and very humbleAlikuwa mtoto wa mjini tu,na alikuwa na nyumba za urithi halafu zote zilikuwa za tope kipindi hicho watu wakawa wanamtania NYUMBA NYINGI,kwa mfano huyo KIZA KINENE alikuwa anaendesha tax tu Kinondoni,Kuna Victor Bandari alikuwa muajiriwa wa kawaida tu Bandarini alikuwa anaendesha crane au folk lift pale,hata Fikiri Madinda alikuwa dereva tu wizarani,nadhani mpaka sasa bado anafanya kazi hiyo serikalini.
Dereva ukimdhibiti kwenye log book na kumpigia hesabu za wese kilometer ngapi per liter kwisha habari yake, lazima ajiunge kuimba kwaya kanisani.Fikiri Madinda tupo nae Dodoma ni Dereva wa Wizara ya Kilimo, Leo tulikuwa nae mitaa Fulani hivi...Ila jamaa kwa Sasa anaishi low key Sana and very humble
Kuna camp ya kuizidi home alone camp na kati ya Kinondoni? mbona hatujaitaja?Mmetaja Camp zote mmeshindwa kutaja Migomigo camp?
Naam,nilikosea jina kidogopatcho mwamba "tajiri".
huyu mcongo pamoja na kwamba ni mwanamuziki, pia ni mtu wa mipango na connection nyingi sana za mujini.
connection zake zilisaidia sana kuifikisha fm academia kufika pale ilipofika. watu wenye ushawishi na mapedeshee wote walikuwa kwenye himaya yake.
ukitaja orodha ya wacongo wajanja(street-smart)na wanaojua kucheza vizuri na mazingira ya tz, patcho anaweza akachukua namba moja.
View attachment 2282823