Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

jamaa huwa wanafanyaje?, wana duplicate?.
Vyeti vipo mihuri ya moto ipo swala la documents forgery ni pana wengi hawaelewi.

Kwa kifupi ni mtu mshamba tu ndio atapinga mambo ya kufoji kwa sababu hata CIA kwenye oparesheni zao wanatumia I'D fake na passport fake, hata wale makomandoo wa Israel wa Ashkenazi kikosi maalum ndani ya Mossad waliokwenda kumuuwa kiongozi wa Hamas Dubai walitumia passport fake za Sweden kuingia Dubai.
 
Wapi marehemu diana Aston villa, marehemu akaacha orodha
 
Hivi 2008 bajaj zilikjwa tayari mzee?
 
nakubaliana na wewe. sanaa ya kughushi(the art of forgery), imekuwepo kwa karne nyingi,tangu enzi za manabii.

ktk masuala ya spycraft, forgery ni moja ya course inayofundishwa kabisa kwa trainees ambao mwisho wa siku wanakuja kuwa majasusi waliobobea.

kwa mfano pale langley, virginia ktk jengo la makao makuu ya CIA, kuna idara inayofahamika kwa jina la office of technical service(OTS).

moja ya jukumu la hii idara ni kuwatengenezea fake ID's, travelling documents etc maafisa wa CIA wanaoutumwa kwenye operations nje ya taifa la marekani.
 
Hivi 2008 bajaj zilikjwa tayari mzee?
Tabata na Mwenge ni moja ya maeneo ya Dar ambayo huduma ya bajaj ilianza siku nyingi sana.

Kwanza miaka ya nyuma bajaj ulikuwa ni usafiri wa walemavu wenye uwezo wa kati, bei ya bajaj ilikuwa ya kawaida sana, wenye uwezo wa chini ndio walitumia baiskeli za miguu mitatu na nyingi zikitolewa kama msaada na Freemason society kama Lions club na Rotary club, hata Mzee Mengi naye hakuwa nyuma.
 
Sikumbuki kama zilikuwa zimeanza kufanya huduma ya usafirishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…