Cha kushangaza ndio mkoa unaletewa vilivyo Bora vyote na makapi kubaki na kuliwa na wazalishaji.Mbeya huko wakija mjini,,,nyie viazi vya kula Chipsi mtavitoa wapi..???,,,mnataka waje wacheze Pool table au waungane na vijana wa Daslamu kubet.
Yafaa nini watu kuja kwenye mkoa ambao hauzalishi Chochote....??? au mnataka waje wawe Panya Road muwapige Risasi...
Huko kote ni cha mtoto kitu Japan na China, wee aacha tu.Wa dubai na anajiuliza kama wewe,wa ulaya naye anakushangaa hujafika alipo,wa kwenye sayari nyingine nae anabaki kushangaa pia
Kama wewe ni mgeni hauwezi kuipenda DarNilikuwa dar, nilikuwa naomba nilichoenda kufanya huko kiishe haraka nirudi Mwanza yangu[emoji16], yani mpaka unajiuliza huku watu wanapapendea ninii.....au labda ni ushamba ulikuwa unanisumbua ila honestly sikupapenda kwa lolote, kuhusu majengo marefu nakubali
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Jibu zuri sana hili .Uzi ufungwe.Nikatie ticket ya ndege kesho nije huko dar
Tuma nambaNikatie ticket ya ndege kesho nije huko dar
Niko pande za ununio.
Nkituma hapa ntakua nmemwaga mchele kweny kuku wengi😄Tuma namba
Kutoka hapa nilipo naweza kuingia na kutoka Nairobi(the capital city of East Africa) hata mara tatu kwa siku, nairoberians nao wanawaona wadaslam kama washamba flani tu wa kutupa kule!!Sasa wataenda huko kama hata hawajafika bongo daslam?
Ahsante sana execute wewe ndio uko sehemu nzuri walio Tandale kwa kina Diamond alikokulia sijui watasemaje.Ila rafiki yangu hebu njoo huku kanda ya ziwa uone palivyo nitakukatia ticketNjoo huku ununio upepo unakovuma. Btw ac ipo home, ndinga na ofisini.
Huko nimekuja sana na mwanza nilipaona pa kawaida nadhani kwasababu nilikuwa na matarajio makubwa mno.Ahsante sana execute wewe ndio uko sehemu nzuri walio Tandale kwa kina Diamond alikokulia sijui watasemaje.Ila rafiki yangu hebu njoo huku kanda ya ziwa uone palivyo nitakukatia ticket
Still lazima uje dar kuosha macho.Kutoka hapa nilipo naweza kuingia na kutoka Nairobi(the capital city of East Africa) hata mara tatu kwa siku, nairoberians nao wanawaona wadaslam kama washamba flani tu wa kutupa kule!! View attachment 2371214
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app