Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Pole sana kwa fikra zakoPengine bado uko young ila wakati utafika utaenda tu dar.
Asante sanaPole sana kwa fikra zako
Dar mpaka New York ipo? 🤣 Pale unaconnect tu. Watu wanatoka kokote duniani. Kuna ndege kibao zenye regula flights kama KLM, ethiopian, turkish nk,? Uko dunia gani wewe?kuna flight inaanzia kia kwenda New York ?....
Wapo.Hapa unazungukazunguka tu lakini ukweli ni kwamba hakuna mwenye hela tz ambaye hajawahi kufika dar.
Tanzania mikoa ambayo sijafika ni rukwa katavi, kigoma, kagera na mara. Kwingine kote nimefika. Nimeenda ulaya, middle east na asia mara nyingi.
Kweli ni heri watulie huko huko waliko.Tuwaombee sana wasifike kabisa
Ndo maana umekula ban ,🤣Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
Huyo kaamua kujifanya mjuaji.. klm wenyewe ambao ndio wanatumia sana kia ndege zao nyingi zinaanzia dar.
Kwanini ndugu?Huwa sitamani kuishi daressalam
Huu ni uandishi wa mkoa gani?Ko darndo nin
Dar waandishi wa hivyo hawapo.Dar es salaam
klm inaanzia dsm ndio ije uko sweken mkuu, mipango yote ya hii nchi inaanzia dar, ndege za ethiopia zinaenda uganda kenya bujumbura na adis ababa sa huko si unaenda na gari tu, kwa tanzania ukitaka kwenda US mipango yote daslama, kia kwanza uwanja mdogo huo huwez fananisha na jkiaDar mpaka New York ipo? 🤣 Pale unaconnect tu. Watu wanatoka kokote duniani. Kuna ndege kibao zenye regula flights kama KLM, ethiopian, turkish nk,? Uko dunia gani wewe?
Viza utapatia darZinaanzia dar? KLM inaanzia kia then inaenda dar. Nimesafiri nazo mara nyingi sana yani. Kama hamjui kitu msilazimishe. Dar isn't everything. Hamatakagi challenge yani mnajiamini nyie ndio mwisho yani. Mmh kazi kweli.
Ndege mi nimepandia NairobiNdege unapandia dar kwenda new york
Hujawahi kufika dar mkuu?Ndege mi nimepandia Nairobi
Finland nimeishi zaidi ya miaka 3 lakini daa siijui