Kufika dar ni dream ya watz wengi.Waachie wabaki huko huko na furaha yake alionayo wewe unaona kakosa kumbe mwenzio anafuraha maradufu!
Waache!
Wewe endelea na unayo yajua wewe!
KITU USICHO KIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA
Mara ya mwisho kupanda KLM flight nimetoka Amsterdam ikatua Kia ndio ikaemda Dar.klm inaanzia dsm ndio ije uko sweken mkuu, mipango yote ya hii nchi inaanzia dar, ndege za ethiopia zinaenda uganda kenya bujumbura na adis ababa sa huko si unaenda na gari tu, kwa tanzania ukitaka kwenda US mipango yote daslama, kia kwanza uwanja mdogo huo huwez fananisha na jkia
KLM. Unapandia Kia inapita Dar halafu inaruka mpaka Schiphol kutoka hapo unapanda ndege ingine to NYkuna flight inaanzia kia kwenda New York ?....
Dar ni main hub kwahiyo lazima biashara yoyote kubwa iwe na ofisi hapa.KLM. Unapandia Kia inapita Dar halafu inaruka mpaka Schiphol kutoka hapo unapanda ndege ingine to NY
Si unaona hapo lazima upite dar?Zinaanzia dar? KLM inaanzia kia then inaenda dar. Nimesafiri nazo mara nyingi sana yani. Kama hamjui kitu msilazimishe. Dar isn't everything. Hamatakagi challenge yani mnajiamini nyie ndio mwisho yani. Mmh kazi kweli.
Hapa umeongea vizuri. Watu wa songea ndio wa kusini wanaohusika hapa.Kusini unayoisemea wewe ni ipi?kama ni LINDI na Mtwara ziondoe;mtu wa kusini akipata hela ya mavuno(ufuta,korosho..) jambo la kwanza ni kuja Dar kufanya 'mahemezi'.
Wajinga wengi wasiofika DAR wapo huko mikoa ya wafugaji:Kanda ya ziwa na kaskazini kwenye maasai wengi.
Ndo umetok kifungon nn π€£Na mimi nitawapa ban moderators.
π€£π€£πNdio. Naandaa mkakati wa kuwapa nao ban.π
Dar hakuna shida ya chakula labda kama hufanyi kazi Yani buku5 Tu Kwa kigamboni unakula siku nzima huko mbagala buku3 unakula siku nzima, alafu upatikanaji wa hela upo kijana mchakalikaji kurudi getto na elfu20-30 per day ni kitu cha kawaida kabisa mkoani hata ukichomoa elfu 10 mfukoni unaonekana tajiriiii pia kuja Dar co ujanja wala nn kama kuna issue unapga uko uliko we endelea Tu huku ukiset mamb vzr fresh unatimbaKuna joto utadhani umo ndani ya tanuri, kuna pollution ya hewa kutokana na moshi wa magari na ndio maana magonjwa hayaishi, kuna shida ya maji katika baadhi ya sehemu, bei ya vyakula nk, ni kubwa mno na ndio maana watu wengi wa Dar wanashindia mihogo ya kuchoma, mlo mmoja kwa siku. Japo wapo wanaoponda maisha lakini hao sio wengi, kifupi Dar ipo kama jehanamu na pepo.
Umeamua kukaza fuvu tu.Haiwezekani
Inashusha KIA kwanza, we mbona kichwa ngumu. Na kuna ndege zinaishia KIA wala haziendi JNIA. TEMBEA ujifunze. Sio kukaa tu dar na kudhani umemaliza.Si unaona hapo lazima upite dar?
Mi tena nimezaliwa dar, nimekulia mikocheni na kigamboni. We ndo wakuja. Ila nina exposure sio mshamba. Nimembea mjomba. Ata mimi at some point nilikuwa na mentality kama yako yani ukishakuwa mtoto wa mjini yani umemaliza yani. Kumbe ujinga mtupu, tembea ukatolewe tongotongo.Naona unakomaa kijana wa chuga
Nimefika karibu mikoa yote ya bara na visiwani. Nimefika ulaya na asia hivyo sina ushamba.Mi tena nimezaliwa dar, nimekulia mikocheni na kigamboni. We ndo wakuja. Ila nina exposure sio mshamba. Nimembea mjomba. Ata mimi at some point nilikuwa na mentality kama yako yani ukishakuwa mtoto wa mjini yani umemaliza yani. Kumbe ujinga mtupu, tembea ukatolewe tongotongo.