Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki, hata kama tunachepuka

Uongo, Nyumbani Nina wake wawili wakali Sana hata Wewe hujawahi kuwapatia kwenye maisha yako na bado nachapa manzi nyingine umenianbia hata nikiwa na wake 10 yenyewe itakuwa ya 11 haina shida
Weka picha zao hapa , nione kama kweli ni pisi au umejipakulia minyama tu
 
Kama unachepuka hakuna ndoa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…