Tuwaheshimu wana JamiiForums ambao hawajawahi kupigwa ban

Umebatizwa upya mkuu?Hiyo B hapo mwisho ni kwa ajili/inasimamia nini?😂
 
Mimi pia ni member bora ila UVUMILIVU ndo sina!

Unalala kwa furaha na amani anakuja mtu anakwambia mwanamke ni mboga: nakuachaje?
 
Umemsahau Rick boy
 
Since 2014 No Ban 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sasa siyo ndiyo mnitafutie, nitazaa nawewe.
 
Pascal unalianzisha tena, tangu lini Ijumaa Kuu ikawa siku ya huzuni kwa wakristu Wakatoliki na isiwe hivyo kwa wakristu wengine! Yesu hakuwahi kuwa na udugu na Wakatoliki alikuwa ni mkristu tu.
 
Kama hii list ya watu ambao hawajawahi kupigwa ban jina langu halipo basi list hii itakuwa biased, unfair.

Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume re-check your list brother.

Just kidding but kudos kwao!
 
Hizi mambo ilitakiwa JF ndio waandae ambao hawajapigwa Ban sio Bujibuji kashiba zake anakuja na list anayoipenda yeye....
 
@Mshana Jr amewahi kupigwa ban japo sijui kaa ilikuwa halali yake. Namheshimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…