Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Alienda kwao alikuwa anajihusisha na ufugaji, generally enzi za TZR ilikuwa balaa

Ova
Hatari sana.
Nilikuwa nampenda sana huyu baba.
Nakumbuka sijui alikuwa anatoa rai kwenye mkutano/tukio gani...nilijipenyeza eti nimshike mkono.
Kipindi hiko sijui kama huruhusiwi kutanya hivo.
 
Back
Top Bottom