Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

Sijataja wote umenikumbusha na mzee waziri wa bendi ile ya kilimanjaro (njenje)
 
Sikuhawi kufahamu kuhu hili
 
diamond platinumz
Mleta uzi anamaanisha,uwataje wanamuziki ambao walishaaga dunia.Umenikumbusha mada moja hivi ilikua inaitwa 'COMPREHENSION',yaani mwanafunzi unakuta amesoma kabisa 'passage' na yuko nayo,ila akipewa maswali,aisee,anajibu hadi unamshangaa.
Siku za mbeleni ndiyo nikajakujua kuna kipengele cha IQ,kwenye psychology.
Hata hivyo safi kwa kujibu,tunasema JIBU ZURI ila siyo kwa MADA hii.
 
Ungechanganya na wasanii wa filamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…