Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

Fid q
"natamani steve 2k angekuwepo
ye ndo mchizi wangu kama pingu na deso"

Kwa mujibu wa fid, steve 2k ndio aliyemtambulisha kwa castro ponela ambae ndio alifanya ngoma ya fid.com
Nadhani sote tunajua ponela huyo huyo ndiyo alimuua steve 2k.
Duuuh! litokea ugomvi au?
 
Duuuh! litokea ugomvi au?
Yeah.. waligombana.
Inasemekana walikuwa pamoja, sikumbuki kama ni bar au club.
Steve 2k akaleta fujo na kumkanda bwana ponela, wakagombelezewa na ponela kupelekwa home, kufikia alfajiri hivi steve2k alirudi tena kwa ponela na kwenda kumkanda, ndipo hapo alipochomwa kisu cha moyoni.
 
Wale wasanii wawili Vivian na Complex waliofariki kwa ajali ya Gari alafu walikua wapenzi
Vivian alikua ana rap sana Kuna ngoma alifanya na AY inaitwa umuhimu Kama sikosei
Na complex nae aliimba na AY nyimbo inaitwa Raha tu.

Alright, njoo huku bado tight🎶
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night🎶
Aah ni raha tu, raha tu, Ndani ya game mi huwa skai macho juu, macho juu🎶
Alright, njoo huku bado tightI🎶
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night🎶
Ee bwana eh, muda bado unaruhusu Aah ni raha tu, raha tu🎶..

Mwingine ni Marehem Faza Nelly mtu wa amani sana alichomwa kisu wakat anaachanisha ugomvi
 
Back
Top Bottom