Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000.

Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva ambao hatupo nao tena.

Tuanze kutiririka sasa…
Mtoto wa Dandu.
 
Mkuu Notorious B.I.G aka Frank White aka Big Small ungeupdate majina juu hapo.
 
Kuna jamaa aliwahi kuimba na akina berry black na Shirko wimbo wa NAJUA jamaa alikua anajua sana hasa kwenye ile verse yake

Kwanza mpenzi wangu natafuta[emoji445]
Najua nini unataka[emoji445]
Kwanza mpenzi wangu natafuta[emoji445]
Najaribu kutafuta pesaa[emoji445]
………

RIP (NI)[emoji120]
Duuh..kumbe yule mshkaji pia alishavuta
 
Back
Top Bottom