Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Hivi huyo casto yupo wapi, maana kifo cha Steve 2k kiliskitisha saana, enzi hizo magazeti ya uwazi yaandika hii story ilikuwa hatari .Fid q
"natamani steve 2k angekuwepo
ye ndo mchizi wangu kama pingu na deso"
Kwa mujibu wa fid, steve 2k ndio aliyemtambulisha kwa castro ponela ambae ndio alifanya ngoma ya fid.com
Nadhani sote tunajua ponela huyo huyo ndiyo alimuua steve 2k.