Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

1. Nime nime nime nime nime kumisss
Eee bwana ndioo

2. Nitayainua macho yangu nitazame milimaaaa .....
 
Hivi yule kiongozi wa EAST COAST TEAM yupo kweli au ameshatutoka?
Nakumbuka moja ya hits zake SAUTI YA MANKA naikubali hadi leo
 
C PWA Ndio msanii was kwanza kutumia YouTube for monetization hapa Bongo. Akawafundisha na baadhi ya wasani kujitangaza mitandaoni.

Ni msanii wa kuigwa Sana.
Baadaye wakafatiwa na AY the rest ....
 
Back
Top Bottom