Ukienda maeneo ya posta ( morogoro road, kisutu, kitumbini) utawakuta wengi tu. Zaidi usiku na Jumapili.Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Userious nilikuwa nao chuo huko nikapambana na mahesabu ya engineering nakuja mtaani watu wanahitaji connection....soo nipo na bodaboda napiga misele...Sasa userious wa niniWw jamaa hamnazo u-serious ni zero kabisa....
Shida kubwa madereva wa malori ndio vipoozeo vyao!Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Ushauri mzuri.Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Anayesema kila mtoto huja na riziki yake halafu hawezi kuhudumia huyo hafai kabisa kuzaa.Tulishasema san umu mtu kama hana uwezo asizae mwisho wa siku nikuja kuteseka kwa mtot atakae zaliwa tukaoneoana hamnazo kichwani
Na wengine waoasema kila mtot ako na riski yake 🤣
Kwa dunia ya sasa kuzaa na kulea watoto ni mtihani mkubwa sanaAnayesema kila mtoto huja na riziki yake halafu hawezi kuhudumia huyo hafai kabisa kuzaa.
Wanao hongwa ni hao hao wanawakeHawa wakipata hela wanaenda kuhonga au kukaa kwenye viti virefu
Km unapga boda utakua unapga sana mbususu mkuu... Mademu wanashoboka sana na bodaboda....Userious nilikuwa nao chuo huko nikapambana na mahesabu ya engineering nakuja mtaani watu wanahitaji connection....soo nipo na bodaboda napiga misele...Sasa userious wa nini
Saidia pale unapo.ona unaweza kusaidia lakini Kama huna unaweza kuachaSasa utanunua Kwa wauzaji wangapi?
Halafu baba za hao watoto walio migongoni wapo wapi? Siku waulize wawili watatu usikie majibu yao.
Nina amini utakuwa na story fupi juu ya haya sio bule juu ya Hilo jibu mkuuBaba wa watoto wako wapi? Kuna Wakati natamani mno kuwaonea huruma lakini nyuma yao kuna wengi wameyataka na kukaidi ushauri wa wakubwa
Una weza nunua ndizi za 1000 na ukampa 5000
Nisadaka nzuri kuliko Ile ya kanisan na sio hao tu hata wazee wetu
NiBaba wa watoto wako wapi? Kuna Wakati natamani mno kuwaonea huruma lakini nyuma yao kuna wengi wameyataka na kukaidi ushauri wa wakubwa
Ni kweli mkuu, lkn usiache kuwahurumia wengine wameshajifunza lkn ndio fursa tu imewatoroka!Nilikuwa na house girl mshamba mbutika kamaliza gongo la mboto mwisho wa lami. Anavaa vitenge mpaka kwenye unyayo..
Baada ya mwezi akaanza kunawiri
Baada ya mwezi mwingine akapata simati foni. Shida ilianzia hapo
Jamani kama kuna binti ambaye nilimuasa kuhusu maisha yule anaongoza..
Lakini sasa hivi analea mimba aliyojaribu kuitoa mara tano ikishindikana.. Kapanga chumba cha giza kula yake ya kubahatisha.. Kakonda kabaki kichwa
Nawaza sana akijifingua future yake na mtoto itakuwaje
Mtoto wa Mwenzio ni wako! Msaidie kama unaweza kwa anayopitia sasa hivi! Hawa tunaowaita mahouse girl hawakustahili kuwa kwenye hayo majumba ya watu, wengi walitakiwa kuwa shule au vyuo ni hivyo hali duni za kipato cha familia zao na unapokuwa naye haimaanishi hata pitia vipindi vyote vya balehe......ameshajifunza.pakubwaNilikuwa na house girl mshamba mbutika kamaliza gongo la mboto mwisho wa lami. Anavaa vitenge mpaka kwenye unyayo..
Baada ya mwezi akaanza kunawiri
Baada ya mwezi mwingine akapata simati foni. Shida ilianzia hapo
Jamani kama kuna binti ambaye nilimuasa kuhusu maisha yule anaongoza..
Lakini sasa hivi analea mimba aliyojaribu kuitoa mara tano ikishindikana.. Kapanga chumba cha giza kula yake ya kubahatisha.. Kakonda kabaki kichwa
Nawaza sana akijifingua future yake na mtoto itakuwaje
Mkuu hayo nimesimulia Kwa uchache Sana. Ningemaliza yote sidhani kama ungenishauri hivyoMsaidie mkuu -mfano hao watoto unadhani wamekosea wapi
Kama umebarikiwa uwezo usiache kufanyika baraka kwa watu wengine.
Hakuna buashara ngumu kana kuuza papucgi nadikua etiMie BIASHARA yangu ni ngumu kuliko yao
ACHA KUJIPENDEKEZA
Tafuta size yako.
Kwa hiyo ni vema dunia nzima tuoneane huruma.Tuwasaidie pia na Wanaume na wavulana wanaotembeza bidhaa Mbalimbali mtaani
Ukigegeda lazima upate watoto??Yaani wee jamaa mbona una roho mbaya sana.
Sie maskini hela hatuna na furaha ya kugegeda nayo hamtaki tuipate🥺🥺🥺🥺