Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

Acha story za kuambiwa vijiweni dogo
Gitari...
Usilolijua usiku wa kiza...



Mshume Kiyate na Nyerere 1955



Mshume Kiyate na Nyerere 1962


Mshume Kiyate na Nyerere 1964
 

Attachments

  • 1564861506447.png
    97.4 KB · Views: 27
Kanumba
Mr nice
Amina chifupa
Bibi titi
Mzee majuto
Makonda
Yule wa sukuma ndani
Yule wa alamba alamba
Yule mchungaji
 
Number moja ni Julius Nyerere number mbili ni John Magufuli ,ukitaka kuamini ngoja project zetu kubwa zisimame ,kwanza hii tu interchange ta ubungo ,nani Wa kwanza alieleta interchange Tanzania, JPM anastahili number mbil
 
Acha story za kuambiwa vijiweni dogo
Gita...
Usiwe hakimu mwepesi wa kutoa hukumu...

Mshume Kiyate na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya kurudi
madarakani baada ya maasi ya Tanganyika Rifles, 1964.

Mshume Kiyate katika picha hii anamfariji Mwalimu kwa kumvisha kitambi kama ishara ya kumuunga mkono yeye na wananchi wa Tanganyika.

Unawajua watu wangapi walioweza kuwa karibu na Nyerere kwa kiasi hiki?

Bado unaamini hustoria ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere ni stori za vijiweni?
 
Swali gumu sana kupata majibu yake, kama ni kijana tu aliyejitolea kuunga mkono harakati iweje awe katikati ya vigogo hao!
Mkuu, hujawahi sikia tetesi za kuundwa timu ya mafundi miaka hiyo?!
 
Nyerere yeye alimalizia tu mbio za.kijiti
sasa inafichwa kwa manufaa ya nani?
kwanini credit zote za kupigania uhuru wa nchi ziende kwa mtu mmoja?
tangu nasoma shule ya msingi yaan najua Nyerere ndio kila kitu kumbe nyuma yake kuna wengi tu wanastahili kuenziwa
 
Mmemsahau mzee Mshumi Kiyate.Alikuwa anafanya biashara ya samaki mtaa wa Tandamti.Yeye alikuwa anailisha familia ya Nyerere alivoacha kazi ya ualimu Pugu
 
Nchi hii inahitaji kukombolewa tena kifikra ili waasisi hili Taifa waenziwe wote bila kujali dini/kabila zao. Historia ya nchi hii inabidi iandikwe upya.
Nalog off
 
Ni nchi iliyopigwa upofu, haina wasomi maana kumbukumbu tu zimetushinda kuanzia hapa ndo tulipoanzia kupotoka.

Tanganyika/Tanzania ilipata UHURU LINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…