Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

Hila la akili cha kiwango cha juu na kumcha Mungu nakupa [emoji817] Magufuli alifanikiwa kwasababu alisaidiwa na Mungu baasi!
 
Yeah angepingwa mbona alipingwa vingi tu anzia madaraja,bwawa la umeme,ununuzi wa ndege
 
Mwarabu asingethubutu kumsogelea magufuli, ndio maana kaja sasahivi
 
Magufuli ndiye chanzo cha kutafutwa DPW, alikwenda Kigali mwaka 2015 na akafanya mkutano na Kagame kuhusu uwekezaji.

Kagame akaanza kujenga dry port kubwa kule Kigali ili mzigo wa DP uweze kuhifadhiwa kabla haujasafirishwa na SGR kuja Dar.

Bahati mbaya 2021 Magufuli akaaga dunia lakini alishaweka mazingira mazuri ya uwekezaji kule Kigali, njiani kupitia SGR na bandari kwa kuboresha ili kazi iwe rahisi.

Hizi siasa ni zile zile za wakati wa ujenzi wa Stieglers Gorge miaka michache iliyopita, ni vita ya wenye wivu wanaochukizwa kuiona Tanzania ikiwa vizuri kijiografia na sasa kiuwekezaji.

Wanao mawakala wao humu humu miongoni mwetu, lakini nia ni njema na watashindwa tu.
 
Viroba kule baharini vingeokotwa vingi kweli kweli,
Nanukuu,
"Ebu tafakari unalima shamba lako halafu inatokea nyoka inakuzuia usilime,dawa yake ni kuiponda kichwa halafu uendelee kulima".
Hiyo nukuu yako unaionaje
 
Mbona tulimpinga kuhusu Usukuma,Ukanda,Ukabila,Udikteta,Wizi,na Sifa za kijinga jinga na kuifanya Chato kuwa Ikulu.
 
Ishu ni mkataba wa kimangungo hta unheletwa na Nyerere ni ufisadi tuu
 
ukiangalia kwa jicho la ndani watu wengi hata hawapingi uwekezaji ila wanapinga waarabu au waislamu kwa sababu DP imetokea Dubai ingekuwa imetokea UK au US wala usingesikia makelele hayo. ni chuki tu za udini hakuna kitu hapo. Angekuwa ni Magu mkiristo mwenzao ndio kawakaribisha hao DP usingesikia watu wanalalamika lakini kwa sbb ni Samia imekuwa nongwa! Mungu aendelee kumlinda raisi Samia
 

Wewe nae, embu pitia kwanza vedio za Magufuli kuhusu bandari ndio ulete fikla zako za abunuasi.
 
Unafikilia kidini ndio maana uko hapo na umejaza ujinga kichwani. Kwa hiyo ndio kusema wanapewa milele kwa sababu ni waislamu?
 
Isingepingwa, ila sema nini mwana, TUNGEKUJA KULIPISHWA MIHELA KAMA ILE YA JUZI
 
Kwa JPM hata kuthubutu kuwekeza katiba Bandari asingeweza.... kwa hivyo haistahiki hata ku assume!... unamkosea bure Magu....
 
Kwenye maswala ya mikataba ya aina hii hakuwa anaitaka na ndo maana hakuleta mikataba tata
 
Akili kubwa ile isingeileta kizembezembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…