THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Hivi mtanzania ambaye ni muislamu anafaidika vp na urais wa Samia hapa Tanzania au uislamu hapa Tanzania unafaidikaje na utawala wa Samia hivi sasa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hiki kitu na kuona pengine kuna manufaa ama fursa ambazo sijazigundua.
Kubalini ukweli,watanzania tunawapenda sana wawekezaji. Wao DP World waje tu tutawapokea kwa mikono miwili ila sio kwa mkataba wa aina ile. Tujiulize ni lini umetolewa ufafanuzi wa kina kwa vifungu vinavyolalamikiwa ?Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi kilishinda viti vyote?
Sikuona malumbano, vitisho, kukamatana, mipasho na zilzali kama sasa. Je hapa tatizo ni ile hali kuwa paka akiondoka mipanya hujitawala au?
Hiyo mikataba yenu ya kishenzi hatuitaki na haitapita nchi hii.
Hili limkataba kwa JPM lingekataliwa ofisini hata kabla halijafika kwa raia. 🤣Yule alikuwa Simba, tena mwenye Sharubu na sio paka.😂
Asingekubali haya. Na hivyo ndio kusema kusinge kuwepo na mjadala wa kupinga au kuunga mkono. Alishawahi kusema, msubiri akiondoka ndio mfanye ujinga_upuuzi. yaliyotokea ni Upuuzi.
Huna hoja hata kidogo.ukiangalia kwa jicho la ndani watu wengi hata hawapingi uwekezaji ila wanapinga waarabu au waislamu kwa sababu DP imetokea Dubai ingekuwa imetokea UK au US wala usingesikia makelele hayo. ni chuki tu za udini hakuna kitu hapo. Angekuwa ni Magu mkiristo mwenzao ndio kawakaribisha hao DP usingesikia watu wanalalamika lakini kwa sbb ni Samia imekuwa nongwa! Mungu aendelee kumlinda raisi Samia
Akili kubwa ile isingeileta kizembezembe
ficha ujinga wako usiabishe ukoo.Jitahidi sana tu.
Nia na mawazo ya mtu hayajifichi kwenye maandiko, si lazima upinge wazi. Lini Nyerere aliwahi kuupinga Uislam wazi lakini vitendo vyake havikuwahi kuuficha ukweli.
Kama huwezi kusimamia msimamo ni wew Ila kuna watu wako hivyo hata akiliwa na Simba Hana shidaVipi kailinda? Mali asili? Tena ndiyo imemla vibaya kweli.
Wewe ukitaka uvunjwe wakati hakuna kipengele cha kuvunjwaKuliko kuvunja mkataba kijinga na kulipa ma billion mpaka kujifilisi!
Waislam hawajiamini kabisaUnajisahaulisha kwamba Magufuli naye alipingwa?
Nani ametaja uislamu ktk kumkosoa ?!. Mbona mnajihami na uislamu wenu huo !!
Tatizo ni mkataba siyo uislamu
Waislam hawajiamini kabisa
Waislam kuna wakati mna tabia za watu wafupi (HAMJIAMINI)
Magufuli alitukanwa sana lakini hakuna Mkristo alisema kuwa kwasababu ya Ukatoliki wake.
Mjiamini nyie watoto wa mama mdogo Hijra...mke mdogo wa Ibrahimu
Nakubali kwenye hili tusimhusishe,tumhusushe kwenye lipi?Pamoja na mapungufu yake yote, ila Jiwe asingetuletea haya matope!! alikuwa mtetezi number moja wa raslimali zetu kwa kukataa mikataba ya hovyo !!
Kwa hili tusimhusishe kabisa.